Mwana mitindo wa ufaransa kasilimu

Mwana mitindo wa ufaransa kasilimu

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Mwana mitindo wa ufarasa Marino Himer kasilimu kasema hi siku ndo siku yenye furaha maishani mwake.
Screenshot_20230725-212519_WhatsApp.jpg
 
Mwana mitindo wa ufarasa Marino Himer kasilimu kasema hi siku ndo siku yenye furaha maishani mwake.View attachment 2699139
Ma shaa Allah Tabaraka Allah.

Umefika ule wakati uliohidiwa kwenye Qur'an:

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0


Qur'an 110:
1.
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 1
2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 2
3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. 3
 
Analenga hela za mafuta, na wale mandevu wanashoboka na mademu wa kizungu si mchezo
 
Back
Top Bottom