Mwana mkiwa

ALEIN

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
27
Reaction score
1
mimi ni kijana natamani sana niwe na mpenzi lakini kila ninae mpata anaishia kunichuna nikiwaomba mambo wananipa sababu zisizo na msingi mfano mmoja nilimpata tukaingia mpaka gest jamaa akadai tumbo linamuuma kwa hiyo mchezo bac,wana JF.NIFANYAJE?
 
''Jamaa akadai tumbo linaumuuma'' Haya bana!!!
 
mimi ni kijana natamani sana niwe na mpenzi lakini kila ninae mpata anaishia kunichuna nikiwaomba mambo wananipa sababu zisizo na msingi mfano mmoja nilimpata tukaingia mpaka gest jamaa akadai tumbo linamuuma kwa hiyo mchezo bac,wana JF.NIFANYAJE?

mmmmh yaani hadi rumuni na bado akakupiga chenga! kuna ka problem ka matatizo hapo!
 
hahahaha happiness win kwahyo we ukshaingia rumu ndio kwisha habar yako?
 
Last edited by a moderator:
Tafuta "demu" ,
"Majamaa" hawapelekwi gesti, wanapeleka!
 
Khaa! Kachopoka gesti????
Usikute kaona mguu wa mtoto!!!
 
dah! mpaka amekubali kwenda nawe guest lakini bado ukashindwa kula mzigo? kama tumbo lilikuwa linamuuma angekukatalia toka huku nje asingekubali kukutia hasara ya kukodi chumba.Usiwaogope sana hawa viumbe kuna wakati unatakiwa utumie nguvu za kijeshi ili kumweka mrembo sawa.
Nalog off
 
hahahaha happiness win kwahyo we ukshaingia rumu ndio kwisha habar yako?

Ndio maana yake..... hadi tukafika rumuni inamaana nimeshaamua na kuridhika na wewe 100%; kwa kuwa nitakuwa nimekuchunguza hadi nimejua huna ka mguu ka motto wala chochote ambacho kingenikimbiza huko rumuni.
 
jeshi gani mkuu? la Tanzania au Kenya.
 
pole kaka, unatakiwa kubadili namna ya kuongea na mabinti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…