beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
karibu shemeji beibe nasty hayo majanga yashindwe na yalegee in the name of jesus.ludi kundin moja kwa moja
hahahahaaaa wote tuseme amen......l............:smile-big:
Afu beibe nasty unasubiri mpaka charminglady ameaga nawe ndio unaingia?
Vipi mambo bibie? mabuku vipi wayabukuaje?
Pole sana kwa ule mkasa uloniambia.
teh teh teh imiss this mmh acha tuu nakwambia si unajua tena digitaliii kipenziiiii
Karibu sana mpz na usitoroke tena eeh!
Halafu wewe.. Nkukute Odinga
Sijui nimekukuta au ndio ushaondoka...naona hata upande wa pili umepotea vilevile!
yaani nilijua umekula ban ya maisha..
Wacha hiyo mineno Nicas Mtei, oloolo!
heheeeeee siendi watu wenyewe wanaocheza ndugu tuuuu hiyo sakumi sahivi kwan nan na nan:A S shade:
habari za masiku wakubwa zangu, akina dada madame B, my bro Mentor, my shem Erickb52, my dad Watu8,babu Asprin,na wengi wengineo....... nimemiss sehemu hii kiukweli ila kuna majanga yalinipata na hata hivo bado kuna tatizo ndo mana hamnioni kiivo ila naaminhakija haribika kitu nawapenda sana hata kama kuna mwenye chuki nami basi mi nampendaaaaaa weeee.
kwa maelezo zaidi nisubirie hapo hapo au kama unahis unaswali lolote uliza maana simkaaji saaana.
ni mimi beibe nasty.:A S-heart-2::yo:
Sijajua ni nani. Nipe ratiba