beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
- Thread starter
-
- #21
Pole sana kwa maswahibu yalokukuta shost....
Ila ndo umekuja wakati mie naagaaga... Nakwenda somewhere, so sitaonekana jamvini kwa muda usiojulikana... Baki salama ukiiwakilisha vyema Mwanza Wing a.k.a The Rock City
sakumi ni law3 na law4
Dah ni zamani sana aisee beibe nasty hujaonekana.habari za masiku wakubwa zangu, akina dada madame B, my bro Mentor, my shem Erickb52, my dad Watu8,babu Asprin,na wengi wengineo....... nimemiss sehemu hii kiukweli ila kuna majanga yalinipata na hata hivo bado kuna tatizo ndo mana hamnioni kiivo ila naaminhakija haribika kitu nawapenda sana hata kama kuna mwenye chuki nami basi mi nampendaaaaaa weeee.
kwa maelezo zaidi nisubirie hapo hapo au kama unahis unaswali lolote uliza maana simkaaji saaana.
ni mimi beibe nasty.:A S-heart-2::yo:
heheeeeee siendi watu wenyewe wanaocheza ndugu tuuuu hiyo sakumi sahivi kwan nan na nan:A S shade:
ahsante my dear teh teh wacha tuu mabuku ni vumbi etii yan magumu aje ila nakaza hivo hivo miss uuu sana mpenzi.
Pole sana kwa maswahibu yalokukuta shost....
Ila ndo umekuja wakati mie naagaaga... Nakwenda somewhere, so sitaonekana jamvini kwa muda usiojulikana... Baki salama ukiiwakilisha vyema Mwanza Wing a.k.a The Rock City
habari za masiku wakubwa zangu, akina dada madame B, my bro Mentor, my shem Erickb52, my dad Watu8,babu Asprin,na wengi wengineo....... nimemiss sehemu hii kiukweli ila kuna majanga yalinipata na hata hivo bado kuna tatizo ndo mana hamnioni kiivo ila naaminhakija haribika kitu nawapenda sana hata kama kuna mwenye chuki nami basi mi nampendaaaaaa weeee.
kwa maelezo zaidi nisubirie hapo hapo au kama unahis unaswali lolote uliza maana simkaaji saaana.
ni mimi beibe nasty.:A S-heart-2::yo:
habari za masiku wakubwa zangu, akina dada madame B, my bro Mentor, my shem Erickb52, my dad Watu8,babu Asprin,na wengi wengineo....... nimemiss sehemu hii kiukweli ila kuna majanga yalinipata na hata hivo bado kuna tatizo ndo mana hamnioni kiivo ila naaminhakija haribika kitu nawapenda sana hata kama kuna mwenye chuki nami basi mi nampendaaaaaa weeee.
kwa maelezo zaidi nisubirie hapo hapo au kama unahis unaswali lolote uliza maana simkaaji saaana.
ni mimi beibe nasty.:A S-heart-2::yo:
Mr Rocky, eti beibe nasty yupo kipande gani? mpe namba yangu anidipuWe Arushaone kwa nini unatoa angalizo wakati inajulikana wewe ni mbaya pamoja na Erickb52 na Mungi
Karibu sana beibe nasty
Kweli?
Miss u 2 love, bt b careful wth Nicas Mtei & alike, they're xactly what your mama warned u about!