Husika na kichwa cha habari hapo juu naamini viongozi wakubwa wa simba wapo humu kwa hyo kama shabiki toa maoni yako kuelekea mchezo huo kuanzia kikosi kianze kipi na wachezaji wapeni ushauri wafanye nn kuelekea mchezo huo ambao ni muhimu kwetu sisi wote kama washabiki na wapenzi wa simba .simba nguvu moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app