MWANA SIMBA TOA MAONI YAKO LEO DHIDI YA STAND UNITED KUHUSU KIKOSI

done12

Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
30
Reaction score
30
Husika na kichwa cha habari hapo juu naamini viongozi wakubwa wa simba wapo humu kwa hyo kama shabiki toa maoni yako kuelekea mchezo huo kuanzia kikosi kianze kipi na wachezaji wapeni ushauri wafanye nn kuelekea mchezo huo ambao ni muhimu kwetu sisi wote kama washabiki na wapenzi wa simba .simba nguvu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20181229_121153.jpg
 
Kocha naye acheze leo
 
Back
Top Bottom