Mwana wa nje ya ndoa(mwana wa zinaa).

Mwana wa nje ya ndoa(mwana wa zinaa).

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
7,687
Reaction score
2,240
HABARI ZA KAZI WANATAALUMA WA AFYA? NIMEKUJA KATIKA HILI JUKWAA MUHIMU KWA SHIDA NAOMBA MSAADA TAFADHALINI.

NDUGU YANGU AMELETEWA TUHUMA KAMA AMEMPA MIMBA BINTI WA WATU NA YEYE KAKATAA NA KUSEMA HAHUSIKI NA UJAUZITO HUO LAKINI WAZAZI WETU WAMEAMUA KUMDHARAU NA KUMUONA MUONGO ETI KWANINI ASISEMWE MWENGINE ILA YEYE? KWAHIYO BINTI NA MTOTO WAKO HOME,
NILIPOKAA NAYE CHEMBA NA KUMHOJI KIURAFIKI JUU YA UHUSIKA WAKE AKAJIBU NI KWELI ASHAWAHI KUMTONGOZA NA AKAMPALAZA PALAZA JUU YA NGUO ZAKE(MTAKUA MMENIELEWA) ILA HAKUMVUA JE INAWEZEKANA MBEGU ZA UZAZI KUPENYA KATIKA NGUO NA KUSABABISHA MIMBA?
BY THE WAY MTOTO KAZALIWA NA WAZAZI WANASEMA NI COPYRIGHT AM NOT SURE ABOUT THIS!
NIMEAMBIWA WAKAPIME DAMU YA WAHUSIKA WATATU THEN AFANYE BROODCROSSING(LOCOLY) IS THIS A RIGHT SOLUTION? Karibuni mfanye clarification ktk hili.
Akhsanteni.
 
Hawa madoctor huruma imewaishaa nini7? Au swali gumu? Hapana bwana saidieni sisi bwana.
 
Hahaha. Leeni mtoto bwana. Yaani kamparaza juu ya nguo? Na wewe umemuamini?
Kafanye dna ya magumashi, agha khan wanafanya bila maswali.
 
Hawa madoctor huruma imewaishaa nini7? Au swali gumu? Hapana bwana saidieni sisi bwana.

Ukienda hospitali, au ukitembea hata mitaani utajua kuna binadamu wanashida kuliko wewe!Na HUTAWEZA kuita ulichoandika hapo juu kama "shida".

Hakuna daktari anayelipwa humu, msaada tunaotoa ni ushauri, au zaidi kwa hiari. Sasa, kwa 'kutosaidiwa' ndiyo utoe maneno ya kejeli haileti/haina mantiki.

Mara kadhaa Mkuu Invisible amekuwa akisema "Use search button before posting anything" ..Mara kadhaa imekuwa shida kurudia rudia kuchangia kitu ambacho kimeshachangiwa.

Labda, Mupirocin, Jackbauer, Nyalotsi, Riwa, MziziMkavu, meningitis, , ZeMarcopolo, measkron, Dr. Wansegamila na wengine pia na junior colleagues i.e Mrimi washauri.

But i will personally advise you upitie hread zenye tatizo kama lako...yaani tumia "Search button".
 
Last edited by a moderator:
ukienda hospitali, au ukitembea hata mitaani utajua kuna binadamu wanashida kuliko wewe!na hutaweza kuita ulichoandika hapo juu kama "shida".

Hakuna daktari anayelipwa humu, msaada tunaotoa ni ushauri, au zaidi kwa hiari. Sasa, kwa 'kutosaidiwa' ndiyo utoe maneno ya kejeli haileti/haina mantiki.

Mara kadhaa mkuu invisible amekuwa akisema "use search button before posting anything" ..mara kadhaa imekuwa shida kurudia rudia kuchangia kitu ambacho kimeshachangiwa.

Labda, jackbauer, nyalotsi, riwa, mzizimkavu, meningitis, , zemarcopolo na wengine pia na junior colleagues i.e mrimi washauri.

But i will personally advise you upitie hread zenye tatizo kama lako...yaani tumia "search button".

broo sijakeli bwana usinielewe vibaya please.
 
Last edited by a moderator:
Ukienda hospitali, au ukitembea hata mitaani utajua kuna binadamu wanashida kuliko wewe!Na HUTAWEZA kuita ulichoandika hapo juu kama "shida".

Hakuna daktari anayelipwa humu, msaada tunaotoa ni ushauri, au zaidi kwa hiari. Sasa, kwa 'kutosaidiwa' ndiyo utoe maneno ya kejeli haileti/haina mantiki.

Mara kadhaa Mkuu Invisible amekuwa akisema "Use search button before posting anything" ..Mara kadhaa imekuwa shida kurudia rudia kuchangia kitu ambacho kimeshachangiwa.

Labda, Jackbauer, Nyalotsi, Riwa, MziziMkavu, meningitis, , ZeMarcopolo, measkron, na wengine pia na junior colleagues i.e Mrimi washauri.

But i will personally advise you upitie hread zenye tatizo kama lako...yaani tumia "Search button".

Mkuu hippocratessocrates, umemueleza vyema kabisa, na muda aliopost na kutaka kupata jibu emediatelly as if sisi huwa tunashinda humu jf kujibu maswali ya Afya.
kaka yangu S.HUSSEIN, nadhani umeelewa nini mwenzangu hapo juu ameeleza, nikujibu tu kuwa uwezekano wa binti kupata ujauzito hata mpegu zikimwagwa kwenye mpaja upo akiwa yupo katika kipindi cha kutoa yai ambalo linaweza kurutubishwa na hizo mbegu. Umesema mtoto keshazaliwa kama ubishi unaendelea mwaweza kwenda mbele zaidi na kufanya kipimo cha vina saba, DNA ili kuweza kuwa na uhakika kama alivyosema King'asti hapo juu...

Hii hapa chini ni sehemu ndogo ya maelezo ya mtu aliyeuliza swali kama lako ambalo unge-search ungeweza kupata jibu pia,
[h=3]Can I Get Pregnant If...[/h] [h=5]We've never had intercourse (sex)?[/h] Yes, but it is rare. If semen or pre-ejaculate (pre-cum) comes into contact with the opening of the vagina or the vulva, the sperm may survive and travel up the vaginal canal, through the cervix, uterus and fallopian tubes. If a girl or woman is ovulating, or about to ovulate, there is a possibility that the sperm can fertilize an egg in the fallopian tubes, resulting in pregnancy. The best way to keep sperm from fertilizing an egg cell is to make sure that no semen gets below the belly button or above the thighs.
 
Last edited by a moderator:
Yaani nacheka hapo red! Sperms zimekuwa kimeta sasa. kweli tunaogopa mimba kuliko ukimwi!
Can I Get Pregnant If...

We've never had intercourse (sex)?

Yes, but it is rare. If semen or pre-ejaculate (pre-cum) comes into contact with the opening of the vagina or the vulva, the sperm may survive and travel up the vaginal canal, through the cervix, uterus and fallopian tubes. If a girl or woman is ovulating, or about to ovulate, there is a possibility that the sperm can fertilize an egg in the fallopian tubes, resulting in pregnancy. The best way to keep sperm from fertilizing an egg cell is to make sure that no semen gets below the belly button or above the thighs.
 
Hiyo kuparaza ni kwenye chupi au nguo ya nche kabisa? Kama kwenye chupi upo uwezekano wa mbegu kuingia kwa chemotactic movement na kutia mimba
 
Someone start a Jerry Springer type of show.

Hakuna mwana wa zinaa, labda baba/ mama wa zinaa.
 
Mkuu hippocratessocrates, umemueleza vyema kabisa, na muda aliopost na kutaka kupata jibu emediatelly as if sisi huwa tunashinda humu jf kujibu maswali ya Afya.
kaka yangu S.HUSSEIN, nadhani umeelewa nini mwenzangu hapo juu ameeleza, nikujibu tu kuwa uwezekano wa binti kupata ujauzito hata mpegu zikimwagwa kwenye mpaja upo akiwa yupo katika kipindi cha kutoa yai ambalo linaweza kurutubishwa na hizo mbegu. Umesema mtoto keshazaliwa kama ubishi unaendelea mwaweza kwenda mbele zaidi na kufanya kipimo cha vina saba, DNA ili kuweza kuwa na uhakika kama alivyosema King'asti hapo juu...

Hii hapa chini ni sehemu ndogo ya maelezo ya mtu aliyeuliza swali kama lako ambalo unge-search ungeweza kupata jibu pia,
[h=3]Can I Get Pregnant If...[/h] [h=5]We've never had intercourse (sex)?[/h] Yes, but it is rare. If semen or pre-ejaculate (pre-cum) comes into contact with the opening of the vagina or the vulva, the sperm may survive and travel up the vaginal canal, through the cervix, uterus and fallopian tubes. If a girl or woman is ovulating, or about to ovulate, there is a possibility that the sperm can fertilize an egg in the fallopian tubes, resulting in pregnancy. The best way to keep sperm from fertilizing an egg cell is to make sure that no semen gets below the belly button or above the thighs.

Asante mkuu kwa majibu yako,vp kuhusu kutumia blood group ya mama na baba nayo kufanya crosing nayo inaweza toa majibu sahihi?
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh! kuparaza paraza juu ya nguo ndio nini!? lol!:majani7:
 
Asante mkuu kwa majibu yako,vp kuhusu kutumia blood group ya mama na baba nayo kufanya crosing nayo inaweza toa majibu sahihi?

Blood grouping sio sahihi kwani watu wengi tunafanana blood groups ndo maana unaweza kupewa damu from blood bank ikiwa ni ya mtu usiyemfahamu kabisa....
 
mhhhh! Kuparaza paraza juu ya nguo ndio nini!? Lol!:majani7:

hakumtoa nguo yake ya ndani kwahiyo akapigapiga nje na kumaliza shida zake hapohapo nje anasema ni kwakuwa ilikuwa dogo hataki.
 
hahaha. Leeni mtoto bwana. Yaani kamparaza juu ya nguo? Na wewe umemuamini?
Kafanye dna ya magumashi, agha khan wanafanya bila maswali.

bila maswali manake nini? Au hawatozi ghalama?
 
Inaelekea huyo ndugu yako ajakwambia ukweli au umeamua kutuona sisi wachangiaji tuko kama matoy
 
HABARI ZA KAZI WANATAALUMA WA AFYA? NIMEKUJA KATIKA HILI JUKWAA MUHIMU KWA SHIDA NAOMBA MSAADA TAFADHALINI.

NDUGU YANGU AMELETEWA TUHUMA KAMA AMEMPA MIMBA BINTI WA WATU NA YEYE KAKATAA NA KUSEMA HAHUSIKI NA UJAUZITO HUO LAKINI WAZAZI WETU WAMEAMUA KUMDHARAU NA KUMUONA MUONGO ETI KWANINI ASISEMWE MWENGINE ILA YEYE? KWAHIYO BINTI NA MTOTO WAKO HOME,
NILIPOKAA NAYE CHEMBA NA KUMHOJI KIURAFIKI JUU YA UHUSIKA WAKE AKAJIBU NI KWELI ASHAWAHI KUMTONGOZA NA AKAMPALAZA PALAZA JUU YA NGUO ZAKE(MTAKUA MMENIELEWA) ILA HAKUMVUA JE INAWEZEKANA MBEGU ZA UZAZI KUPENYA KATIKA NGUO NA KUSABABISHA MIMBA?
BY THE WAY MTOTO KAZALIWA NA WAZAZI WANASEMA NI COPYRIGHT AM NOT SURE ABOUT THIS!
NIMEAMBIWA WAKAPIME DAMU YA WAHUSIKA WATATU THEN AFANYE BROODCROSSING(LOCOLY) IS THIS A RIGHT SOLUTION? Karibuni mfanye clarification ktk hili.
Akhsanteni.

Pole sana!!
Inawezekana ni mtoto wake kwa possibility ya 1, i mean 100% kama tu
1.madai yake ya kuparaza ni ya kweli(nadhani una maanisha amekojolea wathungu kwenye nguo yake, nadhani hivyo), si unajua life span ya sperm za kiume?? it can be 1 possibility
2. binti hajawahi kutembea na kidume kingine kwa kipindi chake cha ovulation, maana inaonekana wakati jamaa anaparaza binti alikuwa kwenye ovulation time

Zaidi mtazame vidole vya miguuni na mikononi, hiyo ndio DNA ya kule kijijini kwetu, above this nenda hospitali kwa vinasaba vya kisayansi zaidi!!
Poleni sana!!
Ahsante!!
 
Akhsante mkuu kwa maelezo mazuri.
 
Inaelekea huyo ndugu yako ajakwambia ukweli au umeamua kutuona sisi wachangiaji tuko kama matoy

Alichonieleza naamini ni kweli because he is my best na na mtu wake wa karibu.
 
Back
Top Bottom