A Atu malambugi New Member Joined Mar 17, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Oct 3, 2013 #1 je ni kawaida kwa mtu anaetumia sindaano depo kupanga uzazi kutoona siku zake za mwezi?
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Oct 4, 2013 #2 ni kawaida sana.na ukiiacha sometimes inachukua mwaka mzima kabla ya period kurudi
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Oct 4, 2013 #3 na wengine huwasababishia kuchelewa kupata mtoto kwa sababu ya hiyo sindano
T thezila Member Joined Aug 4, 2013 Posts 25 Reaction score 2 Oct 4, 2013 #4 mh!ss endapo nimeacha ili nipate hedhi ndo niendelee na kuchoma sindano cwez pata mimba?na je ni2mie nn ili nipate cku zangu mapema?
mh!ss endapo nimeacha ili nipate hedhi ndo niendelee na kuchoma sindano cwez pata mimba?na je ni2mie nn ili nipate cku zangu mapema?
PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,994 Reaction score 1,291 Oct 4, 2013 #5 Hivi ni kweli hizo sindano zinasababisha haemophilia/ damu kuendelea kutoka hata ukijikata kidogo haigandi.
Hivi ni kweli hizo sindano zinasababisha haemophilia/ damu kuendelea kutoka hata ukijikata kidogo haigandi.
A Atu malambugi New Member Joined Mar 17, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Oct 10, 2013 Thread starter #6 je mtu akiacha ili apate kuona siku zake anaweza kupata mimba kipindi hicho kabla hajaona hedhi?