mwanaamke kutopata hedhi atumiapo sindaano za uzazi wa mpaango

mwanaamke kutopata hedhi atumiapo sindaano za uzazi wa mpaango

Atu malambugi

New Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
2
Reaction score
0
je ni kawaida kwa mtu anaetumia sindaano depo kupanga uzazi kutoona siku zake za mwezi?
 
ni kawaida sana.na ukiiacha sometimes inachukua mwaka mzima kabla ya period kurudi
 
na wengine huwasababishia kuchelewa kupata mtoto kwa sababu ya hiyo sindano
 
mh!ss endapo nimeacha ili nipate hedhi ndo niendelee na kuchoma sindano cwez pata mimba?na je ni2mie nn ili nipate cku zangu mapema?
 
Hivi ni kweli hizo sindano zinasababisha haemophilia/ damu kuendelea kutoka hata ukijikata kidogo haigandi.
 
je mtu akiacha ili apate kuona siku zake anaweza kupata mimba kipindi hicho kabla hajaona hedhi?
 
Back
Top Bottom