Mwanaanga alipokea ujumbe wa kubaki anga za juu kwa sababu nchi iliyomtuma haipo tena

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
766
Reaction score
1,535
Mwanakosmonauti Sergei Krikalev alipokuwa kwenye kituo cha anga cha Mir mwaka 1991, alipokea ujumbe wa kustusha na kusikitisha kwamba hawezi kurudi nyumbani kwa muda ulopangwa kwa sababu Umoja wa Kisovieti ulikuwa umefutiliwa mbali.

Ujumbe huo ulisema, "You must remain in space, as the country that sent you no longer exists" ikamaanisha "Endelea kubaki anga za juu kwasababu nchi iliyokutuma haipo tena"

Hii ilikuwa ni kutokana na mabadiliko ya kisiasa na mgogano wa kiuchumi kufuatia kuvunjika kwa USSR.

Krikalev, anayejulikana kama "Raia wa Mwisho wa Kisovieti" (The last Citizen of Soviet) alibaki kwenye kituo cha anga cha Mir kwa siku 311, karibu mara mbili ya muda wake uliopangwa, kwa sababu hakukuwa na bajeti wala utulivu wa kisiasa wa kumpeleka mwingine angani ili kumrudisha duniani.

Hatimae alirudi duniani Machi 25, 1992, akitua katika jamhuri huru mpya ya Kazakhstan, ambapo wakati akiondoka misheni alitoka jiji lililoitwa Leningrad na kurudi katika jiji lililoitwa upya St. Petersburg.

FB_IMG_1771619492239~2.jpg
 
Hatimae alirudi duniani Machi 25, 1992, akitua katika jamhuri huru mpya ya Kazakhstan, ambapo wakati akiondoka misheni alitoka jiji lililoitwa Leningrad na kurudi katika jiji lililoitwa upya St. Petersburg.😂
 
Sasa muda wote huo alikua anakula nini? Alikua anajisaidia vipi?
 
Alitua Khazastan kisha akarudi kwenda St. Petersburg (Leningrad).
Alikuwa na Akiba ya chakula , siku zote hizo upweke wote akiwa peke yake and akanusurika na kifo au kutopatwa na kichaa !?
 
Muda mrefu sana.
Bila shaka alikuwa na chakula cha kutosha na maji ya kutosha.
 
Back
Top Bottom