Namfahamu jamaa alikuwa hayupo serious shule alipata div four na C mbili moja ya physics na moja ya maths alirudia somo moja tu akapata C nyingine six akapiga div 1 ya point 3 PCM, chuo akaachana na sayansi akapiga biashara akapiga first class ya BBA jamaa amemaliza masters ya ya finance na ana CPA.
Wengi waliofeli form four ni kwasababu ya kutokuwa makini na kutojali na wanajuta na kutamani warudi tena shuleni lakini hakuna tena time.
Stori za kutunga huwa zinavutia sana...Namfahamu jamaa alikuwa hayupo serious shule alipata div four na C mbili moja ya physics na moja ya maths alirudia somo moja tu akapata C nyingine six akapiga div 1 ya point 3 PCM, chuo akaachana na sayansi akapiga biashara akapiga first class ya BBA jamaa amemaliza masters ya ya finance na ana CPA.
Wengi waliofeli form four ni kwasababu ya kutokuwa makini na kutojali na wanajuta na kutamani warudi tena shuleni lakini hakuna tena time.
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 30,akiwa na C moja,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...
ndio arifu.....namfahamu personally huyo mtoto wa dr slaa....ni shoree mkali kweli kweli.....Samahani yoyo umesema? ina maana Dr ana mtoto mkubwa kiasi hicho? je alimpata walipokuwa madhahabuni au baada ya kuacha kumtumikia bwana?
ndio ana akili nyingi na si kilaza....Duh!! mtoto wa wa Slaa ni kichwa???:blah:
dr slaa mtoto wake anamaliza chuo kikuu ardhi mwaka huu ni kichwa balaa......
lingine??
wewe elewa hivyo....maswali mengine mPM mwenyewe.....Wa mke yupi na alimpata lini ? Mbona alikuwa kule ambako hakuna kuoa ?
kwani wauza bar au dereva tax wakoje acha kujiona wewe ukojuu wakati zinazo kufanya uonekane uko juu ni kodi za hao hao unao wabeza pumbavu kabisa...una mwita mmbea hivi ingekuwa mtoto wa mlala hoi angepokelewa kidato cha tanoacha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
Wa mke yupi na alimpata lini ? Mbona alikuwa kule ambako hakuna kuoa ?
Wa mke yupi na alimpata lini ? Mbona alikuwa kule ambako hakuna kuoa ?
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
Kwani aliacha mwaka gani?
ndio arifu.....namfahamu personally huyo mtoto wa dr slaa....ni shoree mkali kweli kweli.....
Samahani yoyo umesema? ina maana Dr ana mtoto mkubwa kiasi hicho? je alimpata walipokuwa madhahabuni au baada ya kuacha kumtumikia bwana?
Na hapo baadaye usishangae akawa waziri wa afyaPamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 30,akiwa na C moja,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...