Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Namfahamu jamaa alikuwa hayupo serious shule alipata div four na C mbili moja ya physics na moja ya maths alirudia somo moja tu akapata C nyingine six akapiga div 1 ya point 3 PCM, chuo akaachana na sayansi akapiga biashara akapiga first class ya BBA jamaa amemaliza masters ya ya finance na ana CPA.
Wengi waliofeli form four ni kwasababu ya kutokuwa makini na kutojali na wanajuta na kutamani warudi tena shuleni lakini hakuna tena time.
Naona watu tunasahau kuangalia picha kubwa ya maisha ya mwanadamu chini ya jua. Tunaangalia mambo ambayo hayapo popote pale ila motoni