Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 31, 2026 mjini Mpanda, mkoani Katavi, Mwambigija amesema Lissu ni miongoni mwa wanasiasa ambao wameendelea kusimama imara licha ya matukio magumu yaliyowahi kumkumba.
"Tundu Lissu ana akili nyingi ndiyo maana anawashinda. Damu yake ya Kiswahili ilimwagika Dodoma, alipigwa risasi 17 lakini bado anaishi," amesema Mwambigija huku akihutubia wananchi waliohudhuria mkutano huo.