Mwanachadema: Jaji Mwambegele amenajisi taifa, ilitakiwa aende ICC

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chadema (BAZECHA) Mkoa wa Mbeya, John David Mwambigija, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kuonyesha uimara na uthabiti licha ya changamoto kubwa alizowahi kukutana nazo katika maisha yake ya kisiasa.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 31, 2026 mjini Mpanda, mkoani Katavi, Mwambigija amesema Lissu ni miongoni mwa wanasiasa ambao wameendelea kusimama imara licha ya matukio magumu yaliyowahi kumkumba.

"Tundu Lissu ana akili nyingi ndiyo maana anawashinda. Damu yake ya Kiswahili ilimwagika Dodoma, alipigwa risasi 17 lakini bado anaishi," amesema Mwambigija huku akihutubia wananchi waliohudhuria mkutano huo.
 
Mkuu wanyakyusa ni watu ambao hawamuheshimu sana mtu muongo na asiyesema kweli toka moyoni.
Mwambegele katuaibisha sana. tena sana.
Heri angejiuzulu kazi kuliko kuambiwa kadnganye naye anaujua ukweli.

Kwa taarifa yako Jidu, Mwambegele hatoki Katumba, ila pale Katumba kuna kona kali sana inayoitwa Mwambegele, inayodondosha magari mengi.

Huyu Mwambegele nasikia ni wa Kyela , lakini kwa tabia aliyoonyesha ni kama kona hiyo hiyo ya Mwambegele, inayodondosha magari.
Naye Jaji Mwambegele anatabia ya kudondosha dondosha mambo kama kona ya jina lake.
 
Mbona hii ipo wazi sana, yani ICC wakitoa warranty anakosekanaje huyu kama mwenye mbwa atalambwa? Sidhani kama list itapungua 100! Huenda hii itakuwa kama ile ya Rwanda hadi ikaanzishwa mahakama maalum...
 
Hilo nalo neno!
 
si huyo Mzee anayejidhalilisha ampeleke sasa, aende vip mwenyewe kwa mfano?🀣

kufuata mkumbo na kususia chaguzi kutawatesa kisaikolojia kwa muda mrefu sana aise πŸ’
 
Mimi mwana CCM Liberal, sijui ninyi waajiriwa wa mitandao ya watu, kile wanachosema wananchi wengine mnashindwaje kuelewa.
Nikuulize Polepole yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…