Mwanachadema soggy dog "zitto umenikosesha usingizi jana baada ya kushinda kesi yako"

Mwanachadema soggy dog "zitto umenikosesha usingizi jana baada ya kushinda kesi yako"

Tema Mate

Senior Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
107
Reaction score
193
1526237_818619951485758_1249453931_n.jpg

Zitto Kabwe umeninyima usingizi jana-Soggy Doggy

Baada ya Zitto kushinda kesi yake jana dhidi ya Chadema,msanii Soggy Doggy amefunguka na kusema haya.

"Umeninyima usingizi jana,this is not fear kwa kweli,mtani tuachie Chama kama vipi maana mtaani watu wanatucheka"
SORCE EATV

Huyu ni Mwanachadema Mmoja tu Celeb aliyeamua Kujitokeza hadharani kukili,ZItto amewagonga kichwani kiasi kwamba Wamekosa Usingizi.Poleni na wengine wote mliokubwa na Kimbunga cha CATRINA CHA ZITTO KABWE.

 
hahahaha...dah!et ataendelea kuwa dog mpaka aanze kubweka
 
kama kweli haya maneno aliyaandika yeye na mtoa mada kanukuu bila kukosea basi "dog" ni kilaza,what is "fear"?
 
Walikosa usingizi wengi. Toka tengeru hadi mbutu kigamboni.
 
kama kweli haya maneno aliyaandika yeye na mtoa mada kanukuu bila kukosea basi "dog" ni kilaza,what is "fear"?

Acha upuuzi wewe, kwa shule gani hasa ulosoma? Unatukuza lugha za watu kama Mkenya bwana, Doggy mwenyewe ni msanii tu wala hazungumzii engl grammar, ni imani yake kwa zitto na chadema, wewe unaingiza usomi. Kama hukuelewa kwani lazima ucomment? Mbona wengine wameelewa, that meanz hata ww ni kilaza ndo mana unajishaua humu jf.
 
Miongoni mwa watu walionifanya nipende upinzani (chadema) ni zitto. Lkn kwa hili, hapana!!!....

Same to me mkuu, ila nilianza kuona tatizo kwa zitto kitambo tu bt sikua na uhakika hasa tatizo lake ni nini ila nilikuwa nikimwangalia usoni na kumsikiliza akiongea u could see ni mtu ambae anajiamini yeye tu n nobody else that meanz asingeweza kuwa chini ya utawala wa yeyote! Huyu kijana ni vzr aanzishe chama chake upya kabisa tuone itakuaje coz c anadai anawafuasi wengi na mchapa kazi, wakati hata kutaja majina ya walioficha fedha uswiss kaogopa ina maana hawajui au hana ushahidi, sasa kelele zilikuwa za nini!
 
bado yuko vileviele?!kichwa kikubwaaaaa mwili mdogooooo..

Huwa u napenda sana kukashfu watu hasa kwa maumbile yao nakusahau kbsa kuwa niuumbaji wa mungu. Unaenda mbali sana. Naamini kwabulichokisema ata nafc yako itakusuta. Mungu akusamehe bure.
 
Si kweli kwamba mshkaji mziki haukumpenda,jamaa alikuwa vizuri sana mpaka anaamua kurudi kwenye utangazaji hakuwahi kitoa track mbaya tatizo ni hawa mafisadi wa mziki wamefanya kuna majembe hayasikiki.
 
Back
Top Bottom