Mwanachama bora wa 2022 | Jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666
Mimi kama mwanachama wa Jamiiforums, nimepokea zawadi kwa mikono miwili na nimefurahi sana kwa kupata heshima hii. Hii imenipa motisha zaidi ya kuendelea kuchangia katika mijadala mbalimbali ya JF. Hili ni jambo la kipekee kwangu kwa sababu hii ni mara yangu ya kwanza kupata heshima hii tangu nilipojiunga na JF zaidi ya miaka kumi iliyopita.

Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru timu nzima ya Jamiiforums kwa kuleta motisha hii kwa wanachama wa JF.

Pia ningependa kuwapongeza washindi wote wa majukwaa mengine ambao wametambuliwa kwa mchango wao katika kuleta mabadiliko chanya hapa JF.
Bujibuji Simba Nyamaume, CHASHA FARMING, Chief-Mkwawa, cocastic, DeepPond, Erythrocyte, GENTAMYCINE, Herbalist Dr MziziMkavu, JituMirabaMinne, Kiranga, Lugano5, MK254, Mohamed Said, Mshana Jr, Nyendo, Pascal Mayalla, UMUGHAKA

Hii inaonyesha jinsi Jamiiforums inavyojali mchango wa kila mwanachama wake na inawapa motisha zaidi ya kuendelea kuchangia katika majukwaa na mijadala mbalimbali.

Asanteni sana Jamiiforums.

Rejea
- Washindi wa wanachama bora wa JF 2022
 
Mungu ibariki JF
 
Hongera mkuu
 
Pamoja sana mwalimu[emoji1752][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…