Mwanachama mpya naomba mnipokee

Mwanachama mpya naomba mnipokee

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Jamiiforums ndomara yangu ya kwanza kujiunga Naombeni mnipe ushirikiano jamani.

Bado sijaweka avatar yangu ila nikipata nitaweka, nitakuwa msomaji mzuri wa kila jukwaa japo jukwaa la siasa napenda sana. Lugha za matusi na kejeli sipendi, natoa tahadhari kabisa, nashauri mods muwe mnapiga permanent ban kwa watu wenye kebehi na matusi.
 
Jamiiforums ndomara yangu ya kwanza kujiunga Naombeni mnipe ushirikiano jamani.

Bado sijaweka avatar yangu ila nikipata nitaweka, nitakuwa msomaji mzuri wa kila jukwaa japo jukwaa la siasa napenda sana lugha za matusi na kejeli sipendi natoa Tahadhari kabisa nashauri mods muwe mnapiga permanent ban kwa watu wenye kebehi na matusi
napenda sana lugha za matusi na kejeli[emoji3064][emoji848]
 
Jamiiforums ndomara yangu ya kwanza kujiunga Naombeni mnipe ushirikiano jamani.

Bado sijaweka avatar yangu ila nikipata nitaweka, nitakuwa msomaji mzuri wa kila jukwaa japo jukwaa la siasa napenda sana lugha za matusi na kejeli sipendi natoa Tahadhari kabisa nashauri mods muwe mnapiga permanent ban kwa watu wenye kebehi na matusi
Unapenda lugha za matusi

Hii akili yako kiboko 🙌🏻
 
Jamiiforums ndomara yangu ya kwanza kujiunga Naombeni mnipe ushirikiano jamani.

Bado sijaweka avatar yangu ila nikipata nitaweka, nitakuwa msomaji mzuri wa kila jukwaa japo jukwaa la siasa napenda sana lugha za matusi na kejeli sipendi natoa Tahadhari kabisa nashauri mods muwe mnapiga permanent ban kwa watu wenye kebehi na matusi
wewe ni dog dog 🐕
 
ile acc yako ya zamani wameipiga ban au umeamua kuwa na 2?
 
Huyu anaonekana mkongwe {nguli}alie amua kuja kivingine,chap tu huja karibishwa na kupewa katiba ushaanza mikwara,kwanza unajua kula tunda kimasihara?

Oky karibu.
 
Back
Top Bottom