Mwanachama Mpya.

Kwanza tuambie wewe ni timu Malinzi au Hali mayai?
 
Sina timu na siwezi kuwa na timu hata siku moja labda timu ya kupiga kazi kuongeza kipato na siyo timu za umbea na majungu.

Timu za umbea na majungu nawaachia wavulana na wasichana Mkuu.
 
Automatically kama una sound kilumumbalumumba!!
 
Id yako mie hooooooi:
Defamation mmmmmmmmmmmmmmmmmmh!
 
Karibu sana member mzoefu, ile ID ya zamani naona umeipumzisha hahaha
 
Karibu Ndugu, usije kushangaa baadae unaitwa Mkuu, hii inamaanisha umeingia katika UWANJA wa WAJANJA...

Tabia za kule FB na Insta, unaweka pembeni kidogo.

Karubu tena.
 
FB ndiyo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…