ReganKingdom
Member
- Apr 19, 2017
- 19
- 12
Karibu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina timu na siwezi kuwa na timu hata siku moja labda timu ya kupiga kazi kuongeza kipato na siyo timu za umbea na majungu.Kwanza tuambie wewe ni timu Malinzi au Hali mayai?
Automatically kama una sound kilumumbalumumba!!Sina timu na siwezi kuwa na timu hata siku moja labda timu ya kupiga kazi kuongeza kipato na siyo timu za umbea na majungu.
Timu za umbea na majungu nawaachia wavulana na wasichana Mkuu.
Umaanisha nini? Kwanini umefikiria hivyo Mkuu?Automatically kama una sound kilumumbalumumba!!
Angalia kwa jicho la ukweli alivyoiandika "kazi" na sentesi zinazoizunguka hiyo "kazi"Umaanisha nini? Kwanini umefikiria hivyo Mkuu?
FB ndiyo nini?Karibu Ndugu, usije kushangaa baadae unaitwa Mkuu, hii inamaanisha umeingia katika UWANJA wa WAJANJA...
Tabia za kule FB na Insta, unaweka pembeni kidogo.
Karubu tena.