Mwanachama mpya

Mwanachama mpya

Tuma picha,weka namba ya simu Na utaje unapoishi
 
Karibu sana JF, Mickelina82! Sijui ni jinsia gani mwenzetu!
 
Asante jinsia ke
Hua tuna taratibu za kuwasalimia member wenzetu na kutengeneza urafiki kabisa wa faida kiuchumi na kijamii..
Hivyo kwa taadhima nakuomba uweke picha na namba zako watu wakujulie hali.
Huwezi jua utakutana na nani!
 
atakutana na mimi kaa kando mkuu
 
Back
Top Bottom