Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na kapicha kidogo babu.Ahsante Babu
Haha we babu muoga tu, basi nitumie PM.. hahahaha.Wameniambia nilinde faragha yangu Babu
Hapana Ragnar Rothbrok hakutokea kwenye jamii ya Spartans ila kwenye jamii ya Vikings
Lakini Spartans walitoweka miaka 1000 kabla ya Vikings, wewe Ragnar uliwaona wapi wakati hata Roma Empire tu hukuikuta š¤mke wangu ni kweli ulisemalo ila niliwahi kufika hadi huku Sparta so wakanipa cheo kutokana na ujasiri wangu wa kuexplore dunia. najua hili hulijui kwa sbabu mimi ni msiri sana.
nina vyeo vingi mama