amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo.
Taarifa hii nimepewa na dada yake muda huu, msiba upo Tegeta .
Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya.
UPDATE.
Misa ya kumuaga itafanyika kesho tarehe 27 August saa 8 mchana Muhimbili.
Pia soma > Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi