TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Sasa maiti si kashaenda zake mkuu?

Hiyo pole yako ataweza isoma hapa ama?
Na hapa ndio itazuka hoja kwamba rambi rambi za nini??? Maana Sisi tunamjua Warumi tu, ndugu zake hatuwajui. Halafu utamaduni wa kuchangiana waungwana inabidi uwe ni pale ambao tunakuwa hai. Tukishakufa mnachanga ili tu watu wapige mchele na bia tu. Haina afya
 
Mchango unaweza pia kutumika katika kusaidia gharama za mazishi,kama vile usafiri na ununuzi wa jeneza.
 
Unajua nilikuwa najua Warumi ni mwanamke mpaka pale nilipouliza humu nikajibiwa ni Mwanaume.

Je, ni kwanini Warumi aliifanya picha yake ionekane ya kike humu Jf, ilhali alikuwa mwanaume?
 
Mimi ndo najua leo kwamba ni mwanaume
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom