TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pumzika Love.
🙏Ahsante kwa maisha yako.
Ahsante kwa kila kicheko ulinipa.
Sikukujua kwa sura, nilikupenda kwa uhusika uliouweza mno.
Ilinitosha.
Celebrities Forum itabaki kuwa yako.
Aina yako ya umbea na namna unausongesha ilikuwa ta tofauti mno.

Umefanya mpk nimepat ban ................wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭.
Haya bana pumzika mdogo wangu.
Ahsante for all the moments we laugh.

Ulitaka nikukumbuke ukiwa na furaha.
Hukutaka nione maumivu yako.
Nitabaki nakukumbuka a Happy person.
Nitabaki nakukumbuka a Self Owning person

Love you, and Nenda Salama Warumi.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Haya ila.
 
Umemwelezea vyema mno… apumzike kwa amani.
 
Huyo ndiyo warumi?
 
Atakuwa alikukula madame haki siyo maombolezo haya.
 
Mamndenyi I hope one day, you u will find a place in your heart to kunitaka radhi.

Siku moja lakini, si lazima leo.
Hata baada siku moja ukikuta thread kama hii kunihusu mimi, katika vitu usisahau ni kuandika.
"I am sorry Snowhite"
Nitaipokea nitakapokuwa.
 
Atakuwa alikukula madame haki siyo maombolezo haya.
Uko na shida mahali, na ni mwepesi wa kusahau sana.
Mbona watu walilia na wewe sana hapa ulipofiwa,ulipokuwa unauguza je wale wanaume wote walikukula?
Wanasemaga umri unaendana na hekima lakini mbona umekosa hata robo ya hekima?
 
Msamehe bure.
unajua hata vichaa, wehu, malaya, wasengenyaji nao huzeeka! so usitegemee asili ikapotea
 
Uko na shida mahali, na ni mwepesi wa kusahau sana.
Mbona watu walilia na wewe sana hapa ulipofiwa,ulipokuwa unauguza je wale wanaume wote walikukula?
Wanasemaga umri unaendana na hekima lakini mbona umekosa hata robo ya hekima?
Kanishangaza sana bora umemkumbusha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…