PostGE2025 Mwanachama wa CHADEMA, Victor Ndibalema, Achakuliwa kwa nguvu na Watu Wenye Silaha Arusha wakidai kumpeleka Central

PostGE2025 Mwanachama wa CHADEMA, Victor Ndibalema, Achakuliwa kwa nguvu na Watu Wenye Silaha Arusha wakidai kumpeleka Central

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Siku zinavyozidi kwenda hali inakuwa mbaya sana! Kijana mdogo kabisa huyu wamemteka so said

Sasa kwanini vijana wasiandamane kwa hali hii ilivyo. Tunaishi kwenye nchi kwa hofu kubwa kama si nchi yetu

Samia jiangalie sana katika utawala wako huu!
===============
Watu wenye silaha, waliovalia kiraia, wamemvamia Victor Ndibalema (mwanachama wa Chadema), akiwa maeneo ya Kijenge jijini Arusha. Watu hao wamemkamata na kuondoka nae kwa kasi kwa gari aina ya Toyota Landcruizer wakidai wanampeleka "central" kujibu tuhuma zinazomkabili. Hata hivyo viongozi wa Chadema Arusha pamoja na ndugu zake, wameenda kufuatilia "central" na kujibiwa kuwa hajafikishwa kituoni hapo. Jitahada za kumtafuta vituo vingine zinaendelea.

Screenshot 2025-11-20 175447.png
 
Tarehe 9/12/2025 tutayamaliza haya mambo ya utekaji na Samia kumpeleka ICC
 
Back
Top Bottom