Sumve 2015 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 4,563 Reaction score 4,227 Sep 13, 2015 #201 Sitaki kuamini jamani!
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Sep 13, 2015 #202 Daah!!! Mungu amlaze mahali pema. Ninaamini kifo chake ni kwa mapenzi ya Mungu na nawapa pole sana wafiwa. Mapambano na yaendelee
Daah!!! Mungu amlaze mahali pema. Ninaamini kifo chake ni kwa mapenzi ya Mungu na nawapa pole sana wafiwa. Mapambano na yaendelee
Moshe Dayan JF-Expert Member Joined Feb 10, 2008 Posts 815 Reaction score 702 Sep 13, 2015 #203 Rest in Peace. Young soul dying for right course.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Sep 13, 2015 #204 ..habari hizi zimenishtua. ..mara kwa mara nilikuwa nawasiliana na Mohamed hapa jf kwenye private message. ..bahati mbaya ujumbe wangu wa mwisho alikuwa hajaujibu, kwa hiyo wiki hizi mbili nilikuwa najiuliza sana kuhusu huyu ndugu yetu. ..then zinakuja habari kwamba ametutoka!! yaani hata sijui niseme nini. ..REST IN PEACE MOHAMEDI MTOI.
..habari hizi zimenishtua. ..mara kwa mara nilikuwa nawasiliana na Mohamed hapa jf kwenye private message. ..bahati mbaya ujumbe wangu wa mwisho alikuwa hajaujibu, kwa hiyo wiki hizi mbili nilikuwa najiuliza sana kuhusu huyu ndugu yetu. ..then zinakuja habari kwamba ametutoka!! yaani hata sijui niseme nini. ..REST IN PEACE MOHAMEDI MTOI.
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 7,781 Reaction score 6,966 Sep 13, 2015 #205 Nimeumia sana.
M mwendomdundo Senior Member Joined Nov 22, 2014 Posts 178 Reaction score 55 Sep 13, 2015 #206 Dah!Apumzike kwa Amani!Yeye mbele sisi nyuma.
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,549 Reaction score 1,849 Sep 13, 2015 #207 RIP comrade Mtoi
J Jasusi JF-Expert Member Joined May 5, 2006 Posts 11,559 Reaction score 5,472 Sep 13, 2015 #208 kat.ph said: Duh, innalillah wainnailayhi rajuun!! Kweli duniani tunapita Click to expand... Gone too soon. Truly the good die young. Rest in peace kamanda.
kat.ph said: Duh, innalillah wainnailayhi rajuun!! Kweli duniani tunapita Click to expand... Gone too soon. Truly the good die young. Rest in peace kamanda.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Sep 13, 2015 #209 Dah, pigo. Jamaa alikuwa ananielewa sehemu nyingine nilipokuwa mgumu kueleweka na wengi. May all beings attain enlightenment.
Dah, pigo. Jamaa alikuwa ananielewa sehemu nyingine nilipokuwa mgumu kueleweka na wengi. May all beings attain enlightenment.
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Sep 13, 2015 #210 RIP mohamed Mtoi.. Nilikutana na huyu jamaa tar 15/2/2015 pale Corridor springs hotel, Arusha kwenye mkutano wa wadau wa CDM kanda ya kaskazin. Asee jamaa alitugusa sana kwa namna yake ya kuongea na kujenga hoja. Mungu akurehemu bro. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
RIP mohamed Mtoi.. Nilikutana na huyu jamaa tar 15/2/2015 pale Corridor springs hotel, Arusha kwenye mkutano wa wadau wa CDM kanda ya kaskazin. Asee jamaa alitugusa sana kwa namna yake ya kuongea na kujenga hoja. Mungu akurehemu bro.
Nguruvi3 Platinum Member Joined Jun 21, 2010 Posts 15,773 Reaction score 32,431 Sep 13, 2015 #211 Inabidi nikubali tu kuwa huo ndio ukweli Mohamed, mmoja kati ya vijana weledi wa taifa letu, mjenzi na mtetezi wa hoja bila kutetereka. Daa! Poleni ndugu jamaa na marafiki, na wananchi wote Sisi sote ni wa mola na kwake tutarejea. R.I.P Mohamed
Inabidi nikubali tu kuwa huo ndio ukweli Mohamed, mmoja kati ya vijana weledi wa taifa letu, mjenzi na mtetezi wa hoja bila kutetereka. Daa! Poleni ndugu jamaa na marafiki, na wananchi wote Sisi sote ni wa mola na kwake tutarejea. R.I.P Mohamed
Ngonidema JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 2,720 Reaction score 2,688 Sep 13, 2015 #212 R.i.p kamanda Mtoi
N nyamnini JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 2,734 Reaction score 1,552 Sep 13, 2015 #213 Duniani tunapita binadamu kama maua huchanua asubuhi na jioni hunyauka, tukubali kumpokea YESU kujiandaa kwa maisha yajayo. Pumuzika kamanda mtoi wote tuko njiani.
Duniani tunapita binadamu kama maua huchanua asubuhi na jioni hunyauka, tukubali kumpokea YESU kujiandaa kwa maisha yajayo. Pumuzika kamanda mtoi wote tuko njiani.
Bwai JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 721 Reaction score 488 Sep 13, 2015 #214 Jaman kwanini lakini, Kijana muhimu, mdogo anatuacha wakati wanajamii tukisubiria kuona tukiongozwa naye??? May you're soul rest in peace brother.
Jaman kwanini lakini, Kijana muhimu, mdogo anatuacha wakati wanajamii tukisubiria kuona tukiongozwa naye??? May you're soul rest in peace brother.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Sep 13, 2015 #215 Dah!! Habari za kusikitisha sana hizi...
Cicadulina JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 977 Reaction score 2,370 Sep 13, 2015 #216 Mungu aiweke roho ya marehema mahala pema peponi.
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,849 Reaction score 2,739 Sep 13, 2015 #217 Tangu nimepata hizi taarifa naona hata ubongo unakataa...najihisi nipo ndotoni na nikiamka itakuwa tofauti
Tangu nimepata hizi taarifa naona hata ubongo unakataa...najihisi nipo ndotoni na nikiamka itakuwa tofauti
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 9,164 Reaction score 18,402 Sep 13, 2015 #220 ALLAH ampe Safari ya kheri. Inna lilah, wainna ilayh rajiuun.