TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Taarifa za hivi punde nikuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia

WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.

Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.

========
UPDATES:

Rip Kamanda Mtoi pumzika kwa Amani hakika hili ni pigo kubwa kwa wanamabadiliko wote!
 
Duuuuu
Kifo hakina huruma!!

R
I
P mohamed mtoi
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa kama mwanaJF mkongwe naamua kuomboleza kifo cha mwanaJF mkongwe na mzalendo ndugu Mohamed Mtoi kwa kutopost chochote kwa siku tatu!

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!!

RIP MTOI!!

Sema sitatumia ID hii,gamba una id 6
 
Nikiwa kama mwanaJF mkongwe naamua kuomboleza kifo cha mwanaJF mkongwe na mzalendo ndugu Mohamed Mtoi kwa kutopost chochote kwa siku tatu!

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!!

RIP MTOI!!

Wewe utulie kabsaaaa,Sema sitatumia ID hii,gamba una id 6
 
Dah siamini kama ni kweli,umeondoka mapema sana Mtoi. Mwenyezi Mungu wa Rehema na fadhili akurehemu na mwanga wa milele ukuangazie Kamanda. Nenda nenda nenda ukapumzike mahali pema Mtoi.
 
kiukweli nasoma huku machozi yananitoka ,nilitamani uone mabadiliko MTOI,Rux mund

 
Inna lillah waina illaih rajiun. Allah akulipe yaliyo mema kwadhamira yako. Allah akutengee janat firdaus. Tunakuombea dua na mapumziko mema Mohammed. Tutakumiss sana. Lakini Allah ndiye mwenye kupitisha Kudra. Amiin
 
Rest in Peace Mohamedi Mtoi

Tulikupenda ila Mola amekupenda zaidi...

Am speechless....

Ila kwa Mungu nitakuombea.... Haki ya Mungu tena!!

Ulale pema peponi Muddy. Ulale pema mdogo wangu.
 
Last edited by a moderator:
Too sad, too sudden for you young patriot. Kwa nini sasa? Kwa nini? Ah, poleni sana wana Lushoto.

Ni wakati mgumu sana. The sun will rise again.
 
wadau,hili gari sijalitambua..ni aina gani?

Mods tunaomba mubadili picha ikiletwa itakayopigwa leo.

R.I.P Mtoi.. daaah
 
Back
Top Bottom