Taarifa za hivi punde nikuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.
Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.
========
UPDATES:
Nikiwa kama mwanaJF mkongwe naamua kuomboleza kifo cha mwanaJF mkongwe na mzalendo ndugu Mohamed Mtoi kwa kutopost chochote kwa siku tatu!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!!
RIP MTOI!!
Nikiwa kama mwanaJF mkongwe naamua kuomboleza kifo cha mwanaJF mkongwe na mzalendo ndugu Mohamed Mtoi kwa kutopost chochote kwa siku tatu!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!!
RIP MTOI!!
Wewe utulie kabsaaaa,Sema sitatumia ID hii,gamba una id 6