TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Pumzika kwa amani kamanda Mtoi.
Kazi yako uliifanya vyema
 
hakika kila nafsi imeumbiwa mauti'

Pumzika Pema Peponi!
#sad
 
acheni ujinga hafi MTU isipokua sikuzake zimefika
"sema wote ni wa m/ mungu nawote tutarejea"
 
So sad! May our Almighty God Rest his Soul In Peace. Poleni sana wanafamilia. Tutamkumbuka Mtoi daima
 
Ni msiba mkubwa sana kwetu sisi wana Jamiiforum. Mohamed Mtoi mimi binafsi sijawahi kukutana naye nimekuwa nikisoma posts zake humu. Kupitia posts zake nilimuona kama kijana mpole mwenye hekima asiye na mihemko. Alikuwa na hoja zisizo na vioja, hakuwa na matusi hata kama mna tofauti naye.

Mohamedi Mtoi umeondoka wakati ambao ulihitajika sana kushuhudia siasa za nchi hii zikibadilika sana. Tunakuombea Kamanda Mtoi upate pumziko jema huko mbele za haki. Kwa kweli ni masikitiko makubwa.

Mods Invisible nashauri, nawaomba na kuwasihi muuweke huu uzi kwenye category ya sticky threads kwa muda ili tumuage mwenzetu kwa heshima.
 
Last edited by a moderator:
Kwa sisi wanaCHADEMA ndugu mohamed R.I.P alipambana na hoja za udini kuanzia jf hadi nje ya jf..tutakukumbuka daima kamanda..

Naam, vijana wa Lumumba wale waliokuwa wanaeneza propaganda chafu za udini dhidi ya cdm watakua wanamkumbuka huyu kamanda.

Nimeumia sn.......RIP kamanda kwa Mara ingine tena!
 
Rest in peace Comrade Mohammed Mtoi, shall your soul live forever in our living mind
 
Viva mbowe!
Chadema ni nuru na nuru ya milele kama wanatamani lolote baya kwa chadema, watapotea mmoja baada ya mmoja!
Mimi ni mtanzania wa kawaida lakini siwezi, nasema siwezi kuwa ccm, na ushindi kwetu "UKAWA" ni lazima
Peoplesssssssssssssss!

Sim yangu
 
Poleni chadema/ukawa kwa msiba..yote kama binadamu tunasema ni mapenzi ya mungu....mungu aliumba na alitwaa....tuko pamoja kuombea ndugu yetu na familia yake...kwa hiyo chama na wanachama na wasio wanachama tusimame imara msikate tamaa
 
acheni ujinga hafi MTU isipokua sikuzake zimefika
"sema wote ni wa m/ mungu nawote tutarejea"
Yeah kweli. Hata mtu akikuua ndiyo siku yako imefika, lakini halizuii yeye kupelekwa mahakamani au jela.
 
Kweli Dunia tunapita,RIP Kamanda msimamizi wa kanda za kichama.
 
Ni pigo hasa kwa wanamabadiliko hatuna cha kufanya zaidi ya kukuombea ulale pema, hakika ulikua mtu poa sana humu JF. Poleni wanafamilia wote!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…