TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

R. I. P (Return If Possible) kamanda Mohamedi Mtoi. Gone too soon kaka
 
Last edited by a moderator:
Ni bahati mbaya kwamba Mungu akiamua hakuna mwenye kutengua maamuzi yake, lakini inaumiza sana. Mungu akurehemu Mohammed Mtoi, upumzike kwa amani
 
Uwiii REST IN PEACE KAMANDA nimesikitishwa sana na msiba huu MKUBWA. Jamani dunia tunapita.
 
R.I.P Mohamed Mtoi. He was one person who expressedwbat he believedin without fear. May your belief and dream be realised
 
"Nafsi haijui itachuma nini kesho. Wala haijui itafia kwenye ardhi gani". Umauti huja ghafla.

A very touching and sad news to be heared, Mohamedi Mtoi ametangulia mbele za haki nasi tutafuata na hatujui tutakufaje.

Mwenyezimungu awajaze subra ndugu, jamaa na marafiki, na Mwenyezimungu amrehemu ndugu yetu huyu ambaye jana tulikuwanaye na leo hatukonaye, amsamehe dhambi zake, amuondoshee adhabu ya kaburi na amfanyie wepesi hesabu yake siku ya qiyama...ndugu Mohamedi Mtoi.

Ama kwa hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.

انا الله وانا اليه راجعون
 
Last edited by a moderator:
Mtoi rafiki yangu wa karibu sana na KAMANDA WA CHAMA MPIGANAJI MPAMBANAJI hivi ni kweli umetutoka? Inauma sana kila nikifikiria tulivyokua bega kwa bega kwenye kupigania haki za wanyonge kwenye taifa hli. Sitasahau pia mchango wako pale arusha uliopelekea mpaka kifo cha ndugu yako hakika machozi yananitoka nimeumia sana. MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI.
 
uploadfromtaptalk1442121724936.png
 
Acheni masihara, jana tulikua tunatwiti naye sasa yamekua haya?
 
Back
Top Bottom