A very touching and sad news to be heared, Mohamedi Mtoi ametangulia mbele za haki nasi tutafuata na hatujui tutakufaje.
Mwenyezimungu awajaze subra ndugu, jamaa na marafiki, na Mwenyezimungu amrehemu ndugu yetu huyu ambaye jana tulikuwanaye na leo hatukonaye, amsamehe dhambi zake, amuondoshee adhabu ya kaburi na amfanyie wepesi hesabu yake siku ya qiyama...ndugu Mohamedi Mtoi.
Ama kwa hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Mtoi rafiki yangu wa karibu sana na KAMANDA WA CHAMA MPIGANAJI MPAMBANAJI hivi ni kweli umetutoka? Inauma sana kila nikifikiria tulivyokua bega kwa bega kwenye kupigania haki za wanyonge kwenye taifa hli. Sitasahau pia mchango wako pale arusha uliopelekea mpaka kifo cha ndugu yako hakika machozi yananitoka nimeumia sana. MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.