TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Poleni sana Wana familia. Pole Wana JF. Pole Wana Lushoto.
 
Pumzika kwa amani kamanda..umekufa kishujaa kwenye uwanja wa mapambano! Mungu aipe Moyo wa ujasiri familia yake katika kipindi hiki kigumu. Amen.
 
Nimelia sana sana, tuliongea juzi. Kwanini afe yeye tu? Hapana aiseee. Nimelia sana tulikua pamoja, Mama yake ndio Mama yangu, familia yake ndio yangu, tukipokuwa shambalai tuliamua kuhamia wote kwenda Magamba school. Why?

pole sana Elli
Mungu amlaze mahali pema kaka yetu Mohammed Mtoi
 
Last edited by a moderator:
RIP Kamanda,tufanye Utaratibu Wa Donation Hata Kama Elfu Moja moja
 
Ni msiba mkubwa kwa UKAWA, CHADEMA, wana LUSHOTO, wana MABADILIKO, wana JF, WANABIBII, na watanzania kwa ujumla. R.I.P Mohamed Mtoi.
 
Huyu bwana nimemfahamia hapa hapa JF lakini kifo chake kinaniuma sana.
Kila mara napitia uzi huu nikitumaini nitakuta taarifa kuwa hajafa...
Inasikitisha sana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Elimu uliitoa ,waelewa wakang'amua
Ukweli ulinena, uongo ukautenga,
Uwezo ulionesha, mfano ukawa,
Sasa pumzika maana Mohamed kazi umeifanya na wajibu umetimiza!
 
hakika wema hawadumu ! sina la kusema , nimeishiwa maneno .
 
R.I.P kamanda mtoi,tunaendeleza mapambano uliyotuachia.
 

Kazi ya Mungu
 
Mungu akulaze pema kaka mohamed Mtoi,sote ni safari yetu tunapishana muda tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…