TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Roho inaniuma kwa kweli sina jinsi simfahamu ila kwa sababu ni kamanda mungu umrehemu.kjn mdogo tulikuwa bado tunamhitaji sana.
 
Ewe punguani, nini kulichokusibu? Pombe?

Kumuombea huyu mwana JF mwenzetu maghfira ndiyo imekuwa tatizo kwako?

Halafu wewe mpumbavu, mtu wa kumtisha ni mimi? Unanchekesha!

Njoo sasa hivi Lumumba na Udoe, ukifika tuma ujumbe hapa hapa JF, mimi ntashuka halafu nione hicho utakachonifanya. Unaona kuku anavyokunya tu, chunga sana usimuone anavyokojoa, Utajuta.

Au tafuta popote utakapo nije, ntakuja na ntakavyokutia adabu uje kuelezea humu humu JF.
 
Inasikitisha sana lakini ndio mapenzi ya Muumba. RIP Mtoi. Tutaendeleza mapambano kwa kukuenzi wewe na makamanda wengine waliotangulia mbele ya haki. Umetangulia nasi tuko nyuma yako.

Jamani hili lisanamu FF huwa ni binadamu au ni li-robot? Maake binadamu hawezi kuwa na roho ya jiwe kama linavyoonesha!

Hivi wewe una akili sawa sawa? Au ndiyo katika wale aliowasema Mkapa?

Nini hapo kimekukwaza mpaka kuongea utumbo?
 
RIP its too early alikua mshikaji wangu sana mtoi hadi Instagram it's too early roho imeniuma sana aisee
 
Ndiyo vile tena kifo hakikatiwi rufaa....mipango ya Mungu ni ya Mungu tu...kaondoka wakati anahitajika zaidi.

Mungu Mpumzishe pema peponi
 
Daaah kaacha watoto wadogo sana alikua anampenda sana mwanae ,RIP nothing we can do ,he is a very young determined politician hadi Dr slaa roho itamuuma sana he used to be role modal wake
 
Poleni chadema/ukawa, poleni wanajf, wanafamilia Mungu akuwezesheni kuwa na subira katika kipindi hiki. Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake na lihimidiwe milele, Amen.
 
Too soon bro I know this guy a very young and determined politician ,nilikua nampenda sana anapo defend hoja za udini kwa UKAWA!!!daaah amefariki kipindi anahitajika sana R.I.P
 
Sio rahisi kukubali kwamba kamanda Mtoi ametutoka lakini tunasema mapenzi yake Mungu Baba yatimizwe.. Ametutoka katika kipindi ambacho alikuwa anahitajika sana..

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi..
 
Mhmn!! Kama ni kweli apumzike kwa amani,kama ni siasa basi CCM hawana utu hata chembe maana tumeyaona mauaji yameshaanza kutekelezwa Mara huko kwa Wapinzani!!

Kipumbwi.
Ni kukosa uungwana kuleta mambo ya chuki za vyama katika misiba kama hii.

RIP Mtoi, so sudden, so shocking, so sad.
 
Inasikitisha sana lakini ndio mapenzi ya Muumba. RIP Mtoi. Tutaendeleza mapambano kwa kukuenzi wewe na makamanda wengine waliotangulia mbele ya haki. Umetangulia nasi tuko nyuma yako.

Jamani hili lisanamu FF huwa ni binadamu au ni li-robot? Maake binadamu hawezi kuwa na roho ya jiwe kama linavyoonesha!

We unamatatizo binafsi na Faiza.
Katoa pole zake afu unamfyatukia.
Chuki hadi msibani??????
 
Back
Top Bottom