TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Ni vyema tukajua mazingira ya ajali ... Ukiangalia gari haioneshi kama ilikuwa ajali kubwa sana ...
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia

WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.

Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.

========
UPDATES:

Inna Lillah Wainaillah Rajiun
 
Pole kwa wanafamilia na wote walioguswa na Msiba! this is sad news, Poleni wanachadema na wanaukawa wote.
 
Dah asee yule mzee mchawi kama kijana wake wa bumbu.... asee duh, rip kijana
 
Dahh!!,tumempoteza mpambanaji. Apumzike kwa amani Mtoi Mohammed
 
R. I. P
 

Attachments

  • 1442141629665.jpg
    1442141629665.jpg
    10.4 KB · Views: 327
Nimelia sana ila sina jinsi.....


R.I.P. Kamanda Mtoi
 
Back
Top Bottom