TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Picha ya gari ndio imeniacha hoi kabisa, hapo ni ilikuwa imeishainuliwa (yaani ili pinduka??) au hivyo hivyo ilivyosimama ndio mtu afe hapo??/ kuna kitu hakiko sawa hapo ...nooooo..

unachokuwa na mashaka nacho ndio watu wengi wana mashaka pia ila ni vigumu kujua ukweli. Nimetaarifiwa kuwa marehemu hakuonekana na jeraha lolote nje ya mwili. Pia hata eneo panakosemekana kutokea ajali ni eneo ambalo hakuna mtu anayeweza kuamini kuwa eneo hilo linaweza kumtoa mtu roho.
 
Itakuwa huzuni kwa ndugu na Masela, Safari yangu itakapofika kwenda Ahela, Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela, Safari yangu itakapofika kwenda Ahela, Mtakao baki mtaniombea..., Anilaze pema peponi KAMANDA anilaze pema peponi KAMANDA...

Aamualo mola wala hawezi kosea, Narudi utotoni nilikotokea kwa nguvu za Mwenyezi ntatokea usingizini, nikiwatoka basi Yarabi yu Kazini... Uhai bado nautamani, ila sipaswi kubaki duniani Safari ya Ahela ishafika kwaherini Masela, ndugu na jama. Utarudi kwa Mola wako kama hujakosea kumbuka Ahela ndiko unakoelekea anza kutenda mema kabla kifo hakijakukuta, ukipuuza haya we utakuja kujuta......

Dedication Song to you Commander....

BACK TANGANYIKA
 
Duh, it's unbelievable! Ama kweli uhai tulionao sio mali yetu; very sad for a young man dying in a tender age like that.

Vv
 
Hizi habari zimenishtua sana.......

R.I.P Mohamed Mtoi
 
R.I.P kamanda Mohamed Mtoi, ni pigo kubwa sana kwa CHADEMA na wapenda mabadiliko kwa ujumla. The guy was good!
 
Innalillàh wainna ilayh rajiuun! Poleni Nyote mlioguswa na Msiba huu. Dah simfaham zaid ya Post zake humu Jf but imeni pain sana sana
 
What a big loss for us! Mungu atutie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha masikitiko na majonzi Amen
 
It is reported that the Prophet :swalalahu alaihi wasallam has said:

Whosoever covers (the sins of) a Muslim, Allah will covers (his sins) on the Day of Judgment. (Reported by Bukhari)

If we find it too difficult to keep it secret, the most we are allowed to do is discuss the issue with the person, in private, and try to encourage them to stop committing the sin(s).

Allah has said:

The believers, men and women, are Auliyâ' (helpers, supporters, friends, protectors) of one another, they enjoin Al-Ma'rûf (i.e. Islâmic Monotheism and all that Islâm orders one to do), and they forbid (people) from Al-Munkar (i.e. polytheism and disbelief of all kinds, and all that Islâm has forbidden). (Quran, 71:9)
 
Naomba mdau mmoja ajitolee kuweka uzi wa KUMBUKUMBU ZA MOHAMED MTOI,aweke thread kadhaa alizoanzisha,na michango yake kadhaa,na picha zake katika harakati zake za kisiasa na kijamii kwa ujumla wake...na iwe kumbukumbu kwa vizazi vitakavyopata bahati ya kusoma habari yake.

R.I.P Mohamedi Mtoi
 
Msiba mzito huu

Inna lillah waina illaih rajiuun..
 
Back
Top Bottom