TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

God knows better....why now?....people's...................... God's time is the best time ever............
 
Pumzika kwa amani kamanda, tutamiss sana post na comments zako jf
 
Poleni sana Ndugu jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu,,,
Itikadi haitotufanye tushindwe hata kutoa pole..
Kwa Barabara na Milima ile ya Mlalo Soni mpaka Lushoto Wallah ili tukio kama naliona vile Poleni sana
 
Pole kwa ndugu jamaa na Marafiki, Mungu awepe nguvu na moyo ya uvumilivu
R.I P Mtoi.
 
Ni vigumu kukubali lakini mdogo wangu umeondoka mapema sana kila nikikumbuka maneno yako na ushauri wako kwangu kwenye siasa nasikia uchungu sana kwa kifo chako. Mwenyezi Mungu akuafu na adhabu ya kaburi !
 
It is reported that the Prophet :swalalahu alaihi wasallam has said:

Whosoever covers (the sins of) a Muslim, Allah will covers (his sins) on the Day of Judgment. (Reported by Bukhari)

If we find it too difficult to keep it secret, the most we are allowed to do is discuss the issue with the person, in private, and try to encourage them to stop committing the sin(s).

Allah has said:

The believers, men and women, are Auliyâ' (helpers, supporters, friends, protectors) of one another, they enjoin Al-Ma'rûf (i.e. Islâmic Monotheism and all that Islâm orders one to do), and they forbid (people) from Al-Munkar (i.e. polytheism and disbelief of all kinds, and all that Islâm has forbidden). (Quran, 71:9)

Ulikuwa unataka kusema nini hapa mkuu
 
Moh'd Mtoi was a friend of mine,few weeks ago tuliongea mengi kuhusiana na harakati zake za kampeni za ubunge jimbo la lushoto.jana usiku mida ya saa3 nilipokea taarifa kua the man is badly injured kwenye ajali ya gari eneo la magamba wakati anatoka kufungua kampeni eneo la mlola baada ya muda kidogo,nikasikia msela is no longer in this world..."iam crying sadly" chanzo inasemekena ni mwendo kasi wa gari alilo kua amepanda na dereva inasemekana alikua ametumia kilevi na inasemekana baada ya ajali dereva huyo alifanikiwa kutoroka na kutokomea kusiko julikna(kwa mujibu wa mashuhuda) ikumbukwe barabara za lushoto zina kona kali sana ni nyembamba mno.


Pumzika kwa amani kamanda,sisi bado tunaendeleza mapambano image yako ya ukombozi haita futika kamwe....

Viva Mtoi Viva Mtou.
 
R.I.p kamanda ulipo tufikisha tutamalizia kama lilivyo tarajio lako.ccm out 2015
 
Sisi sote ni wasafiri! Siku moja kila mmoja wetu atafika kituoni! So sad kamanda kututoka.
 
Habri za kwenu wakuu. Kuna taarifa nimeipata hapa juu ya kamanda mtoi. Ni taarifa ya kusikitisha. Naomba mwenye taarifa kamali juu ya tukio lililomfika aje hapa kuthibitisha.
 
Back
Top Bottom