TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Moderators, please naomba thread zote sa Mohamed mtoi hapa jamvin ziwekwe pamoja, we have a lot to lean from this guy, inasikitisha sana the very important people kwa nchi hii huondoka mapema . Pumzika kwa Aman brother, tupo nyuma yako, CDM na watanzania wote, hili n pigo kuondokewa na huyu mtu.
Rest in peace Mohamed. Tunakuombea
 
Asante sana MUSSA ALLAN, this guy is my hero too

Mtoi nitakukumbuka sana! Kuna siku ulinishauri kuachana na CCM, Nikakutukana! Ila sasa hivi nakumbuka sana maneno yako! Ila ninachoshukuru Mungu hivi sasa siko tena CCM.

Lala salama MTOI, umetangulia mbele ya haki, ila maono yako yataishi milele!

Wakristo tunaaamini kuwa baada ya maisha haya ya duniani kuna maisha mengine, ambayo yatatukutanisha sote!

Naamini tutakutana tena baada ya maisha yetu hapa Jamii forums!

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
 
Nimejikuta natoa machozi. Nilimkubali sana kamanda Mtoi! RIP brother!
 
Makene, ninapendekeza kwa kuenzi uhai na mchango mkubwa wa huyu kamanda shujaa, shughuli zote za kampeni za UKAWA zisitishwe kwa siku nzima ya siku ya mazishi ambayo ni kesho (Sept 14).
RIP Mtoi
 
Km ana familia naombeni watanzia tumkumbuke kwa kuhakikisha familia yake inaish vizuri,tumepoteza makamanda wengi sana,chadema simamieni hili
 
Tulijua Mabadiliko yatakuja at a price-tutakuenzi,tutakukumbuka hasa siku tutakayoingia ikulu that what you stood for had materialised- may your soul rest in peace,AMEN
 
Daaa hata siamini,mtoi kaenda?kwanini lakini jaman?jamaa nimepiga naye kazi sana za chama kanda ya kati.mungu wangu!
 
Da, sad news. He has gone too soon. RIP Mtoi
 
images


Ulale pema peponi kamanda
 
Polen sana ndugu na jamaa wote mliofikwa na msiba huu popote mlipo, Mungu awape faraja kuu ktk kipindi hiki kigum cha maombolezo..

Yeye BWANA na awaangazie uso wake pale penye majonzi Mungu awafute.. Amina
 
So sad.......what a loss !. Tangu nilipopata taarifa hizi asubuhi nimekuwa mtu wa huzuni siku nzima ya leo. Mungu awatie nguvu familia yake..

Imeniuma sana....
 
I remember that day ulipokuja humu kwa huzuni ukiomboleza kifo cha mtoto yule mdogo wa familia yenu ambaye alijeruhiwa wakati akiwasikiliza wanaharakati wa Chadema katika ule mkutano uliopigwa mabomu Arusha.Leo umetangulia wewe mbele za haki ukiwa katika harakati zile zile.Umefariki ukipigania unachokiamini.Umetuachia somo kubwa sana wanajf wenzako.Now again,namuandikia post mwana jf mwenzangu,knowing that he'll never reply..forever..and at the moment..who?@mohamed mtoi ...hapa ndipo jf inakuwaga chungu kwangu.Kwa heri kaka,mgosi kagone mpheho..no more words
 
KIFO, KIFO, KIFO:

A mystery we will never comprehend.
A surprise we will never appreciate,
A tragedy we will never be prepared for,
An attack none has succeeded to resist,
A battle, none has ever won,
An enemy whose mighty subdues all into powerless, helpless, and hopeless beings,
For this reason, Mtoi had no choice but to surrender to heavens.

I am crying for Mtoi, I am crying for the vision he has left behind unfulfilled; for the serving heart we are going to miss; for the little ones he has been enjoying to play with under his roof and they will find him no more; and for his half who has been believing in in him and supporting his mission.

May our heavenly Father, help us to count our days and be ready for the unknown ahead of us.

 
Back
Top Bottom