We kichwa panzi kweliWadau naomba mnijuze hivi Mh.Mwigulu Mchemba ni Waziri wa Michezo au Mambo ya ndani?Nasema hivyo kutokanabna kujikita kwenye masuala ya Klabu ya Yanga zaidi.Anayejua anifahamishe.
Je kama waziri mhusika kazubaa?Mh.Mwigulu angehangaika Na Panya Road Na Majambazi kuliko Yanga , Yanga amwachie Waziri mwenye dhamana Na Michezo mkuu
Sasa we mwanaume mzima unashtaki panya road kwa mwanaume mwenzio,mnafanyaga watu wa dar tuonekane wa hovyo sana,kesho ufungashe urudi shambani kwenu huko,umekuja mjini umekua mbea sana.
wewe vipi huna Elimu tofautisha siku moja na jamaa mwingulu yeye kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga. whoever kuna matukio mengi ya hatari mf Panya road wizi wa slaa hapo ndipo utajua MSOMI NI NANI NA MWIZI WA MAJINA NI NANI taifa sijui linakwenda wapi.
swissme
Huyu atakuwa mpinga maendeleo tu huyu.we utakua shabiki wa simba lazma
Tupo hapa tulipo kwa sababu viongozi wetu wanajisahaulisha majukumu yao na kufanya yasiyowahusu.Jamaa kaandika jambo la msingi sana lakini nashangaa tumeweka akili zetu kwenye hayati masabuli na kuanza kuleta unazi usiokuwa na tija kwetu
mzee usitutukane kwa kosa la k mmoja tu,nakuhakikishia kesho anarudi porini kwao,mtoto wa kiume anaanzisha thread za kimbeambea haipendezi.Acha umbea wanaume wa dar mmekua mashoga
kama hilo ni jambo la msingi kwako utakua huna tofauti na kaogeJamaa kaandika jambo la msingi sana lakini nashangaa tumeweka akili zetu kwenye hayati masabuli na kuanza kuleta unazi usiokuwa na tija kwetu
mpumbavu ni wewe unaeshabikia kitu hujui kama kesho utakunywa chai.Atakae fuata matapishi yako
Siujue naye ni upumbavu kama wewe
mod katukana huyu.Atakae fuata matapishi yako
Siujue naye ni upumbavu kama wewe
wabongo bwana kwa hiyo shida wapi ukiwa waziri huna Ruhusa ya kusaidia matatizo ya Jamii kwa hilo yupo sahihi asemwe mengine aisee..