Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Jamaa kaandika jambo la msingi sana lakini nashangaa tumeweka akili zetu kwenye hayati masabuli na kuanza kuleta unazi usiokuwa na tija kwetu
 
Mzee Sumaye fred alipokuwa Waziri Mkuu aliwahi kuwapa simba ndege ya serikali kwenda Angola.
 
Mleta mada hivi una akili timamu?? Mh. Mwigulu amefanya kosa gani sasa ama ilimradi umeanzisha thread
 
Sasa we mwanaume mzima unashtaki panya road kwa mwanaume mwenzio,mnafanyaga watu wa dar tuonekane wa hovyo sana,kesho ufungashe urudi shambani kwenu huko,umekuja mjini umekua mbea sana.
 
wewe vipi huna Elimu tofautisha siku moja na jamaa mwingulu yeye kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga. whoever kuna matukio mengi ya hatari mf Panya road wizi wa slaa hapo ndipo utajua MSOMI NI NANI NA MWIZI WA MAJINA NI NANI taifa sijui linakwenda wapi.

swissme

Atakae fuata matapishi yako
Siujue naye ni upumbavu kama wewe
 
Jamaa kaandika jambo la msingi sana lakini nashangaa tumeweka akili zetu kwenye hayati masabuli na kuanza kuleta unazi usiokuwa na tija kwetu
Tupo hapa tulipo kwa sababu viongozi wetu wanajisahaulisha majukumu yao na kufanya yasiyowahusu.
 
Acha umbea wanaume wa dar mmekua mashoga
mzee usitutukane kwa kosa la k mmoja tu,nakuhakikishia kesho anarudi porini kwao,mtoto wa kiume anaanzisha thread za kimbeambea haipendezi.
 
Jamaa kaandika jambo la msingi sana lakini nashangaa tumeweka akili zetu kwenye hayati masabuli na kuanza kuleta unazi usiokuwa na tija kwetu
kama hilo ni jambo la msingi kwako utakua huna tofauti na kaoge
 
matatizo ya yanga si matatizo ya jamii, ni matatizo ya wanayanga.

Uwazir wa mambo ya ndani ni masuala ya jamii yote bila kujali mbeya city,azam,yanga,simba,ndanda n.k.
wabongo bwana kwa hiyo shida wapi ukiwa waziri huna Ruhusa ya kusaidia matatizo ya Jamii kwa hilo yupo sahihi asemwe mengine aisee..
 
Back
Top Bottom