Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kwahio!!!?mod katukana huyu.
swissme
Usikariri maisha na kuishi kama Kasuku, tenganisha Taaluma/Kazi na Hobby! Juha Kalulu weee!Mh.Mwigulu angehangaika Na Panya Road Na Majambazi kuliko Yanga , Yanga amwachie Waziri mwenye dhamana Na Michezo mkuu
Sasa atafanya kazi gani bana?wakati magufuli anaongoza na kuingilia kila kitu muache azame kwenye michezo.hapo namtetea mwigulu hapo.Wadau naomba mnijuze hivi Mh.Mwigulu Mchemba ni Waziri wa Michezo au Mambo ya ndani?Nasema hivyo kutokanabna kujikita kwenye masuala ya Klabu ya Yanga zaidi.Anayejua anifahamishe.
Wadau naomba mnijuze hivi Mh.Mwigulu Mchemba ni Waziri wa Michezo au Mambo ya ndani?Nasema hivyo kutokanabna kujikita kwenye masuala ya Klabu ya Yanga zaidi.Anayejua anifahamishe.
Ndugu yangu akili za kuvukia barabara watu wanataka wafanyie biashara ni vitu viwili tofauti mwigulu au mbowe kama ulivyoandika wangefanya kama wana jangwani sio kila kitu watu walete siasa za tope.Hata Mbowe angehusika kumrejesha wote ni Yanga damu hao
nyie vibaka wa UVCCM sema mnalindwa tu lakini kichwani ni weupe kama ukoma.Kwahio!!!?
ndandannape ni shabiki wa timu gani?
Hongeranyie vibaka wa UVCCM sema mnalindwa tu lakini kichwani ni weupe kama ukoma.
swissme
Lakini hii imenisaidia mimi kubadili mtizamo wangu, kwa baadhi ya viongozi wa serikali, Ujambazi na uharifu kijumla umeongezeka waziri sijawahi kumsikia akiongea chochote, ila yuko bize na mambo ya Yanga, anafaa kuwa kiongozi Yanga, ila nimshukuru waziri kwa kunifanya nibadili mtizamo kwa baadhi ya viongozi wetu.siasa zaingia rasmi uwanjani ......twendeni tu
Ni kweli anaendeshwa na dereva alieajiliwa Hilo halikwepeki ndugu.Na hapo znatumika gharama za serikali,kudadeki