Mwanachuo aliyekuwa akisoma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni auawa na wananchi wenye hasira

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mwanachuo aliyekuwa akisoma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni aliuawa na wananchi mwenye hasira kali katika kata ya Sinde jijini Mbeya.

Mwanachuo huyo aliuliwa ikidaiwa kumiliki simu ya wizi wengine wakidai kuwa ameiba simu siku ya tarehe17-05-2021

Taarifa rasmi zilitolewa chuoni tarehe 18-05-2021.

Uchunguzi wa kifo hicho bado unafanyika kubaini kua aliiba au alikutwa na simu ya wizi.

Tuwe wazalendo

 
Kipindi flani pale IFM jamaa kapigwa mawe kisa wamezinguana na demu wake akamuita mwizi na kulikuwa na event flani pale, ni ngumu kubeba story kama ilivo.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kumiliki simu ya wizi? Kwahiyo aliyemuuzia ni nani? Simu ndio utoe uhai wa mtu? Mi nasemaga kuna MiAfrika inabidi irudishwe tu utumwani
Haija thibitishwa zaidi kama amemiliki tu au amehusika kuiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…