Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka ilo tukio,pamoja na yule mwingine alikua anakula mke Wa mtu,jamaa akaweka sumu kwenye chakula mke na jamaa wa ifm wote wakafa,nahisi uko walipo wanaendeleza showKipindi flani pale IFM jamaa kapigwa mawe kisa wamezinguana na demu wake akamuita mwizi na kulikuwa na event flani pale, ni ngumu kubeba story kama ilivo.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mkuu jobo anahusikaje hapaHii Ndugai anahusika moja kwa moja.
Ndugai ni mjinga na mpumbavu sana yule mzee
Haijalishi, kuiba simu bado sio warranty ya kutoa uhai wa mtu, tena kinyama!!Haija thibitishwa zaidi kama amemiliki tu au amehusika kuiba
Na hii ndio imekuwa ikileta mapigano ya wakulima na wafugaji yasiyo na mwisho, hawa wanaua, na hawa wanalipiza
Huyu na ccm wenzake wauaji
Ndio njia pekee iliyobakia maana ukiacha utakuwa unalea ujingaNa hii ndio imekuwa ikileta mapigano ya wakulima na wafugaji yasiyo na mwisho, hawa wanaua, na hawa wanalipiza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii Ndugai anahusika moja kwa moja.
Ndugai ni mjinga na mpumbavu sana yule mzee
Wezi wengine wapo maofisini wanapigwa na viyoyozi na wezi Hawa Ndio wanaowapa hasira hizo wananchi.Mwizi wa kuku au aliyeiba 2000 anauwawa mzee
Ova