Mwanachuo aliyekuwa akisoma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni auawa na wananchi wenye hasira

Mwanachuo aliyekuwa akisoma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni auawa na wananchi wenye hasira

Kipindi flani pale IFM jamaa kapigwa mawe kisa wamezinguana na demu wake akamuita mwizi na kulikuwa na event flani pale, ni ngumu kubeba story kama ilivo.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Nakumbuka ilo tukio,pamoja na yule mwingine alikua anakula mke Wa mtu,jamaa akaweka sumu kwenye chakula mke na jamaa wa ifm wote wakafa,nahisi uko walipo wanaendeleza show
 
Ratiba ya kumuaga Jofrey J.Nyoni itaanza chuoni CBE kuanzia saa 9Alasiri leo tarehe19-05-2021
16214169412036245699445091410724.jpg
 
watu wana hasira za ajabu Sana.

ule mzuka wa hapa kazi tu uliondoka.
 
Umasiki, ujinga na kukosa elimu au Elimu duni. ndio mazao ya haya yanayotokea sasa hivi.

Sijawahi sikia china kuna mwanafunzi ameuwawa kisa simu ambayo hujui kama kweli ya wizi au ya kwake ila labda zimefanana tu sababu simu zina matoleo.

Bila kutatua hivyo vitu japo juu itakuwa ngumu kuendelea kama taifa na haya mambo yataendelea kutokea kila siku.
 
Tanzania nchi ya ajabu sana waliosoma wanawabagua wasio soma walio soma wanawadharau wasiosoma,

Masikini wana wadharau matajiri na kuwabagua the same kwa matajiri


huyo Dogo usikute hakuiba simu ni vile tu hapendwi na vijana wasiosoma hapo mtaani
 
Lugha rahisi kakutwa na simu sio yake, sasa haijulikani kama kaiba ama kauziwa na mtu mwingine aliyeiba.
Wangemsikiliza pengine angemsema aliyemuuzia, ila kama hajataja aliyemuuzia basi atakuwa kaiba yeye.
 
Back
Top Bottom