Nukuu kutoka SIPA
"Dear applicant, the appeal window is open from November 6 th – 10 th, 2021. You are advised to read and follow instructions when submitting your appeal.
Ndugu muombaji, dirisha la rufaa lipo wazi kuanzia Novemba 6 – 10, 2021. Unashauriwa kusoma na kuzingatia maelekezo yanayotolewa wakati wa kuwasilisha rufaa yako."
Rais alisema wote wapate mikopo, sasa huu ubaguzi umetoka wapi? au ilikuwa gear ya kupunguza makali ya malalamiko ya tozo! Na naona kama uko mwaka wa pili na mwaka wa kwanza hukupata mkopo, kuappela ni kupoteza muda na gharama bure