Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza fild?Habarini wana jf
Mimi ni kijana ni mwanachuo kwa sasa nipo likizo...nahitaj msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki Cha miezi miwili posho ata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa.
contact: 0621554787
Huyu atakua Dar, watu wa dar ndio wanaamini kila aliyepo humu ni wa DarUmemaliza fild?
Mkoa mbona hutaji?
Nenda viwandani utapata 7000 kwa siku. Kama upo Dar Epza pale viwanda vingi tu.Habarini wana jf
Mimi ni kijana ni mwanachuo kwa sasa nipo likizo...nahitaj msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki Cha miezi miwili posho ata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa.
contact: 0621554787
Ubungo external, Kirefu chake ni export processing zone authority.Epza ndo wp mkuu
Mwenge catholic university- moshi
Haukusevu boom?kukaa nyumbn tu kunachosha mkuu
Ni 5,000/- hio 7,000/- wameanza lini?Nenda viwandani utapata 7000 kwa siku. Kama upo Dar Epza pale viwanda vingi tu.
Boom lipi ilo la ku save mkuu au unataka watu wasile chakula walale njaa ili wa saveHaukusevu boom?