Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui, me niliambiwa na moja ya watu wanaofanya kazi pale.Ni 5,000/- hio 7,000/- wameanza lini?
Ni 5,000/- per day pale, Mchina anaelipa vizuri ni mwenye kampuni ya Mawasiliano tu huko ndio watu wanalipwa mpaka 30,000/- per day huyo ni kibaruaSijui, me niliambiwa na moja ya watu wanaofanya kazi pale.
We kule Mbezi Beach uliposema uliwahi kufanya kazi ulienda kuomba tena?Mkuu kampuni gani hiyo ya mawasiliano?
Hawachukui tena watu wengine?Ndio, wapo watu wao permanent.
Kazi gani 7,000 lisaa watu wanaihenyea masaa 12 hio tena kwa kazi za shuruba kazi za enzi utumwa kubebeshana pembe za Ndovu na minyororo shingoni wakati kuna mwamba kakaa ofisini kazi yake kusaini tu makaratasi kwa mwezi anakunja Million 45/48/50Kama upo dodoma njoo nikupe mchongo elf 7000 kwa lisaaa ila utamenyeka mbaya mbovu
Kaz hyo utapiga siyo Zaid ya masaa matatu. Tu
Maelezo yako hayajitosheleziHabarini wana JF
Mimi ni kijana ni Mwanachuo kwa sasa nipo likizo. Nahitaji msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki cha miezi miwili
Posho hata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa.
contact: 0621554787
Chuo gani hujui hata kuandika?npo dar es salaam,,, kipind hiki sis hatunag field