Mwanachuo SJUT (Dodoma) abakwa na kukutwa na umauti

Mwanachuo SJUT (Dodoma) abakwa na kukutwa na umauti

Poleni sana,
Lakini tujuzeni ni katika mazingira gani? Maana hali halisi ya nchi yetu tumefikia mahali hata maadili ya hao wanavyuo wetu nayo saa nyingine yanatia maudhi kwani baadnhi yao huwazidi hata wale changudoa proffessionals,na hayastahili kufanywa na wasomi tarajiwa.

My take ni kwamba mnapopata nafasi za masomo ya juu basi ni vema kuzingatia kilichokupeleka pale na si vinginevyo,msipofuata hayo matokeo yake ndio haya majuto

RIP marehemu

mazingira mengi ya kubakwa ni violence, hivyo si busara kuhusisha na uchangu wa mtu au wanafunzi au mfanyakazi, ni kitendo cha kuvamiwa tu, kama ilivyo tokea kwa wanafunzi wa ifm kigamboni. au mtu sema ana rudi toka masomoni saa tatu usiku ikamtokea hivyo. it can happen to any one of us. hivyo ni vizuri kuwa na busara. mpaka pale utakapo thibitisha otherwise.
unaweza kuwa unatoka zako chako ni chako ni pombe zako kichwani ikakutokea hivyo, unaweza kuwa na gari likakuharibikia sehemu mbaya.
 
Duh,sasa inabidi wanafunzi waruhusiwe kumiliki silaha za jadi!!!!
 
Rest in Peace manafunzi. Hebu wekeni wazi mazingira wale walio angalao na taarifa kidogo.
 
Siyo mbaya kwani itasaidia wengine kujifunza na kuwa waangalifu wa afya zao..! Nina uhakika mazingira yake si sawa na yale ya madenti wa ifm waliolawitiwa huku wamewekea bastola kichwani..!
 
really sorry for her! rest in perfect peace dear student!
 
Poleni sana,
Lakini tujuzeni ni katika mazingira gani? Maana hali halisi ya nchi yetu tumefikia mahali hata maadili ya hao wanavyuo wetu nayo saa nyingine yanatia maudhi kwani baadnhi yao huwazidi hata wale changudoa proffessionals,na hayastahili kufanywa na wasomi tarajiwa.

My take ni kwamba mnapopata nafasi za masomo ya juu basi ni vema kuzingatia kilichokupeleka pale na si vinginevyo,msipofuata hayo matokeo yake ndio haya majuto

RIP marehemu

Unajua chanzo cha mkasa au umekariri?
Leo kwa huyo dada, kesho kwa mwanao.
RIP dada
 
Siyo mbaya kwani itasaidia wengine kujifunza na kuwa waangalifu wa afya zao..! Nina uhakika mazingira yake si sawa na yale ya madenti wa ifm waliolawitiwa huku wamewekea bastola kichwani..!

Una uhakika ulikuwepo? Tusipende kuropoka, leo kwake kesho kwa mwanao.
 
alikuwa ni mama mtu mzima alikuwa anaitwa MZIMA LYDIA LEO,alikuwa anatoka discussion saa nne usiku,kabla ya kukutwa na mauti,ni mwenyeji wa matombo morogoro,alikuwa ni mfanyakazi wa kilimatinde hospital
 
Nina shemeji yangu anasoma hapo chuoni, anasema huyo mama alikuwa anatoka discusion usiku, so wakati anarudi ndio akakutana na na hao wauaji, wakambaka na kumuua, inasikitisha sana. Poleni sana wana chuo
 
the world is not fair.3rd Yr,li coz lenyewe tyt.Then kabla mtu hajafaid matunda afu Kwishney.Very painful.Bt wat happend?RIP our lovely
 
Hii hutokana na mahusiano mabaya kati ya wanafunzi na wanajamii waliopo maeneo ya vyuoni,ni matokeo ya magomvi,wivu na chuki kati ya hayo makundi mawili.Uongoz wa vyuo wawe na program za ujirani mwema kati ya wanafunzi na jamii inayowazunguka kuepusha hali kama hiyo kutokea.
....huenda pia alizinguana na mtu huwezi kujua bhana hivi visichana vyuoni siku hizi havieleweki hata kidogo.
 
In other words unasema it is her fault kwa kuwa wanavyuo wanavaa nusu uchi kuliko machangudoa right?
Poleni sana,
Lakini tujuzeni ni katika mazingira gani? Maana hali halisi ya nchi yetu tumefikia mahali hata maadili ya hao wanavyuo wetu nayo saa nyingine yanatia maudhi kwani baadnhi yao huwazidi hata wale changudoa proffessionals,na hayastahili kufanywa na wasomi tarajiwa.

My take ni kwamba mnapopata nafasi za masomo ya juu basi ni vema kuzingatia kilichokupeleka pale na si vinginevyo,msipofuata hayo matokeo yake ndio haya majuto

RIP marehemu
 
Yanapotokea haya tunapaswa kuona juhudi kama zile alipo kufa kamanda Barlow!
 
....huenda pia alizinguana na mtu huwezi kujua bhana hivi visichana vyuoni siku hizi havieleweki hata kidogo.

hv unajua mazingira ya tukio au unalopoka ni mama mtu mzima bhanaa
 
[h=3]MWANACHUO AUWAWA[/h]

JESHI la polisi mkoani Dodoma limeshutumiwa kwa kushindwa kuimarisha ulinzi katika baadhi ya maeneo mkoani humo hatua inayodaiwa kuchangia kuaawa kinyama kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Saint John Lidya Leo Mzima na watu wasiojulikana. Marehemu Lidya mwenye umri wa miaka 57 anadaiwa kuuawa siku ya jumapili hii majira ya saa nne za usiku pembezoni mwa maeneo ya chuo hicho chenye wanafunzi 5500 akiwa anarejea nyumbani baada ya masomo ya jioni.

Ni simanzi,vilio,huzuni na majonzi katika vyunga vya chuo hiki kufuatia tukio hili la kusikitisha ambalo linadaiwa kuyaweka katika mashaka na wasiwasi mkubwa maisha ya wanafunzi hawa. Licha ya kulitupia lawama jeshi la polisi baadhi ya mashuhuda wanadai kuwa baada ya kufikwa na mkasa huo uliositisha safari ya maisha yake mwili wa marehemu Lidya uliharibiwa vibaya na mnyama asiyejulikana kwa kunyofolewa macho,masikio,pua,mguu na viuno vingine.

Prof.Gabriel Mwaluko ni makamu mkuu wa Chuo na Karimu Meshack ni afisa habari ambao kwa pamoja wanaelezea kilichorjiri. Kutokana na shutuma za uzembe dhidi ya jeshi hilo Kamanda wa mkoa ACP David Misime anawataka wakazi wa mkoa huo kuimarisha ulinzi shirikishi kwa lengo la kuwabaini wahalifu. Wakati huo huo Kamanda Misime anasema msako mkali umeanza wa kuwatia nguvuni waliohusika na ukatili huo ili waweze kufikishwa kwenye mikono ya sheria kwa ajili ya hukumu.

CHANZO STAR TV
 
Back
Top Bottom