amefanana na misokoto yake kweli, imemgeuka, yeye anaiuza toka first year, ngoja na yeye imuuze, shida ni misokoto yake haijaelewa umuhimu wa elimu yake ya uuguzi.
Dogo anajikwamua na hali mbaya ya kiuchumi ningekuwa mkuu wa chuo ningemwambia nenda darasani..Jamaica kuna super market za bangi sembuse hicho ki kete