Tetesi: Mwanachuo wa UDOM aliyekamatwa na misokoto ya bangi

Tetesi: Mwanachuo wa UDOM aliyekamatwa na misokoto ya bangi

Hawa ndio baadae wanakuja kuwa viongozi au watendaji watumishi unagemea nini hapo..Niliishi hii nchi kwa umri wangu sasa lakini huku tunakoelekea taifa litakuwa na vichaa wengi sana
 
Hawa ndio baadae wanakuja kuwa viongozi au watendaji watumishi unagemea nini hapo..Niliishi hii nchi kwa umri wangu sasa lakini huku tunakoelekea taifa litakuwa na vichaa wengi sana
Kuna daktari bingwa tena baba yake alikuwa daktari mashuhuri muhimbili one of the best doctors kuwahi kutokea Tanzania na huyu kijana kamrithi baba yake na kasoma urusi

Lakini anavuta bangi hatari ,ukiingia kwenye gari lake ni kama vile upo Jamaica

Na kabla ya kufanya operation lazima apige misokoto yake kadhaa ya bangi ,halafu ni genius sana

Usishangae sana kuhusu bangi
 
Bangi huwa vile unavyoitaka iwe.
 
Mpuuzi kabsa!achukuliwe hatua Kali za kisheria ili fundisho.
 
8fa46b4237049e7f4da7a88b325f30ea.jpg

Duh, nanihiii kakakamatwa? Tobaaaa, sijuwi nitapata wapi kipezeo cha leo usiku, kutoka kwenda mjini kutafuta kipozeo bila usafiri naona shida mwenzenu. Tafadhali mwenye kujali naomba unirushie msokoto japo hata mmoja kupitia M-Pesa niweze kufukiri vizuri.
 
Kwa hiyo bangi ni jambo la msingi katika maendeleo ya Tanzania? Wacha kubugia unga kijana.
Siku nyingine ikitokea hujaelewa post yangu usini-quote.
Halafu wazo la kwamba nabugia unga nadhani umelipata kwa kufikiri kupitia makalio maana huna evidences za ulichosema.
 
Kijana ni mtafutaji kwa njia ya ujasiliamali.....ametazama kwa makini na kuona kuna fursa katika bidhaa hiyo kutokana na uhaba wa bidha na wingi wa wahitaji....

Tofauti yake ni kwamba amechagua ujasiliamali wake kwenye sahihi lakini haiko kwa mujibu wa sheria........

Kila mtu ana namna yake anavyopambana na maisha yake katika lengo la kupata mafanikio....

Usimhuku huyo kijana kwa namna yoyote kwa kuwa haupo kwenye viatu vyake na hujui amepitia mambo gani mpaka kufikia hapo.....
 
Back
Top Bottom