Mwanachuo, wajasirijiamali na wenye stationary fursa hii kwenu

Mwanachuo, wajasirijiamali na wenye stationary fursa hii kwenu

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,604
Reaction score
872
habari wadau
kuna fursa napenda ni share na wenzangu ambao wana
stationary na wanafunzi wa chuo ambao kwa mtaji
mdogo usio zidi laki 1 wanaweza kupata hela ya kujikimu
na ugumu wa maisha wakiwa chuoni.
wazo lenyewe ni hili
kama unavyojua mahitaji ya flash disc na memorya cards
kwa wanafunzi wa chuo, hivyo basi kwa mtaji mdogo
unaweza kununua bidhaa hizo kutoka kwangu na kuziuza
kwa bei yenye faida.
Flash Disc na Memory Cards ambazo ni original na zina
warranty nauza kwa jumla
4 gb 8500
8 gb 10000
16 gb 18000
hivyo basi unaweza kuanza na kiasi kidogo tu, ukaagiza
mzigo nikakukabidhi then ukaendelea kuongeza kadri ya
utakapo uza.
Je, utauzaje?
kwa wanachuo ni rahisi tu, kwanza unaanza kutangazia
watu wako wa karibu na kuwauzia pia unatengeneza
posters ndogo ndogo au flyers unabandika kwenye notes
body za chuo, hostels na sehemu mbali mbali around
campus ukiweka bei na namba yako ya simu. hapo
wateja watakutafuta tu siku hadi siku na kila mteja
mmoja anatengeneza wateja wengine.
bei za kuuzia
kwa reseach niliofanya vyuo vya Dar watu ambao
wanafanya biashara hii ambao hawana ofisi bei zao ni
hivi
4 gb 12000
8 gb 15000
16 gb 25000
sasa wewe unaweza kushuka kidogo na kuja na bei hii
4 gb 11000
8 gb 14000
vile vile unaweza kupanda kutokana na eneo mfano vyuo
vya mikoani.
kwa bei hiyo ambayo ni nafuu zaidi ukiwa na matangazo
ya kutosha unaweza kuwa na wastani wa kuuza flash 2
kwa siku ambapo unaweza kuingiza 5000 kwa siku, au
zaidi ya hapo bila kuadhiri ratiba zako za vipindi
darasani.
Unaweza ukaanza na flash kumi tu
5 za 8 gb
4 za 8 gb
alafu ukaangalia biashara inavyoenda.
Pia kutokana na kufanya online business tutakua tunawa
direct wateja wetu ambao wako na eneo ulipo wakanunua
bidhaa kwako kwa bei uliyopanga wewe.
Kumbuka biashara hii inahitaji matangazo, hata mtu wa
stationary unaweza kuweka tangazo la bei kwenye
mlango au sehemu visible kwenye ofisi yako ambapo
mteja akija ataiona na atavutiwa na bei kwa sababu
sehemu nyingi flash disc wanauza kwa bei ya juu sana
hivyo akiona tangazo na bei ni rahisi sana kuvutika
kununua kuliko kuziweka ofisini hadi mtu aulizie bei ndo
ajue.
Ambao mtakua interested mnaweza kunicheki pm, sms au
whatsapp 0714883861.
N:B na mimi nimepitia chuo hivyo najua maisha ya chuo
na changamoto, na mahitaji kama haya.
 
Back
Top Bottom